Shinikizo la kubadili baraza la mawaziri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shinikizo la kubadili baraza la mawaziri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jp Omuga, May 3, 2012.

 1. Jp Omuga

  Jp Omuga JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 2,671
  Likes Received: 822
  Trophy Points: 280
  Kikwete ni CHAGUO LA MUNGU.....somo gumu kueleweka lakini ambalo MUNGU alitaka tulisome kwa lazima
  ili baadaye tuwe makini linapofika suala la uchaguzi wa Mkuu wa Kaya.......

  Tusitegemee jipya kutoka kwake hata akibadilisha baraza la mawaziri kwa mara nyingine.....Yeye binafsi ni dhaifu, anauma na kupuliza, bingwa wa kulalamika na kuomba "public sympathy" aonekane mwema badala ya kuwasimamia na kuwawajibisha wazaidizi wake!! Utasikia anadai "Huu ni upepo tu utapita".......Ajali ya kisiasa.....


  Aliwahi kusema "......(.....) Usipokuwa tayari kuliwa huli..... Sasa unataka kula tu bila kuliwa.....Haiwezekani...."
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Majungu tu hayo. Acheni Rais aunde baraza la Mawaziri bwana hayo maneno ya vijiweni hayana tija kwa sasa.
   
 3. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ​aanze kuliwa yeye kwanza halafu wafate macamba wenzake
   
 4. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  KENGEMAJI NAONA UNANUFAIKA NA MFUMO.aunde asiunde kwe2 sawa 2..2shapigika na magamba.
   
Loading...