Bado kuna mwenye imani na kikwete pamoja na serikali yake?

shungurui

JF-Expert Member
Sep 1, 2008
3,765
5,154
Wanajamii kwa yote yanayotekea ndani ya serikali na mengine ya aina hiyo ambayo kikwete ndo Rais.wizi wa wazi kabisa.dhuruma, ufisadi nk.
Hivi kweli bado kuna mwenye imani na ******?kwani matukio mengi yanaonyesha ameshindwa kuongoza inchi.
 
wanajamii kwa yote yanayotekea ndani ya serikali na mengine ya aina hiyo ambayo kikwete ndo rais.wizi wa wazi kabisa.dhuruma, ufisadi nk.
Hivi kweli bado kuna mwenye imani na ******?kwani matukio mengi yanaonyesha ameshindwa kuongoza inchi.

tutakuwa na imani nae kwa kuangalia baraza la mawaziri atakalounda sahivi baada ya kelele zote za wezi kipindi cha serikari yake:::akiwarudisha maswahiba zake na wezi kama yule mama wa wizara ya sheria ambaye mwanzoni alifuja sana pesa za umma akiwa tamisemi::basi hapo tutakosa imaninaye atakua analinda maslahi ya wahujumu uchumi
 
Back
Top Bottom