Nyerere, Tanganyika tunatukanwa na tukae kimya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyerere, Tanganyika tunatukanwa na tukae kimya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pharaoh, May 1, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nyerere mnadhubutu kumuita Baba wa Taifa anatukanwa kuliko Mbwa na bado Serikali na Majeshi yake inatulia?

  Watanganyika (Watanzania bara) wanatukanwa na kubaguliwa kuliko Mbwa na bado kimya?

  Visiwa vyetu tulivyovikomboa kwa jitihada ya Mwalimu Nyerere ndio leo vinatuita koti linalobana kwa hiyo wanatuvua?

  Wamenona kumbe, baada Nyerere kumtimua sultani kwa nguvu na jasho letu Watanganyika, wananchi (watumwa) walioachwa na sultani tukawalisha mpaka hivi leo wamenona wana maendeleo kuliko Bara, wana umeme wetu toka Ubungo kwa masaa 23 mpaka 24 wakati Watanganyika wengi wakihangaika, vingi wanavyonufaika kutoka kwetu (hebu wakuu jaribuni kuorodhesha wanatutapeli) wao wanaona tunawahonga au kujipendekeza wabaki ndani wakati wao ndio wana deni la kukombolewa, jamani mbona serikali kimya, jeshi kimya?

  Na sisi wananchi mbona kimya? Wenzetu wangapi kule Zenji wamepigwa, wamebakwa, wamekamatwa, wamechomewa, wamefukuzwa na manyanyaso mengi tu, kwa nini kisehemu cha nchi yetu cha watu laki 6, kwa sababu laki 6 wengine wako Bara watuibie na kutunyanya watu milioni 48? Tuwape ushindi makundi ya Uamsho wa Kiislamu yanayofadhiliwa na Iran yanajifanya yanatumia dini ili kuvunja Muungano? Au tukabili hili janga lingali bichi?

  DAWA NI SERIKALI MOJA TU, JAMHURI YA TANZANIA (SIO YA MUUNGANO) MUUNGANO NI MIAKA HIYO, SASA HAMNA CHA KUUNGA TENA WA KUGAWA, NCHI SIO KOTI KAMA MIDEBWEDO INAVYODAI.

  VIVA JAMHURI YA TANZANIA!!!
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu hii thread yako inachochea ban. Lakini wazo langu mkuu ni tofauti kidogo na lako Mimi nafikiri cha muhimu ni kuvunjilia mbali huo muungano na kuwatimua wapemba wote hapa mjini na vijijini tuone
   
 3. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu tukuwapa uhuru ndio tutajutia maisha, kwani sasa wanaponzwa na walewale walioipotosha Somalia miaka 22 iliopita na hatimae nchi huyo imefali na inafelisha majirani pia,
  Zanzibar kwa asilia 100 itafeli, kwa njaa watahamia baharini kafanya uharamia tu, wataiua Tanganyika kabisa kibiashara.
  Samaki mkunje angali mbichi, wasitoke hata kidogo/
   
 4. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,812
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  Kwa nini mnataka kutumia mabavu na kumwaga damu bure? wenzetu wa visiwani kama hawataki muungano waitishe kura ya maoni wajitenge full stop kuna haja gani ya kuwashika kwa nguvu?? waache wawe huru hiyo ndio demokrasia
   
 5. C

  CHIEF MVUNGI Senior Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa ni wabaguzi wa kidini msiahangaike mimi nko nao huku na wajua hawana UAMSHO bali niujinga tu kwanza wazanzibar hawana elimu na sema humu ndani zaidi sijui ya mara ngapi fuatilia wabunge wao pumba tupu,sasa ukitaka upate njaa njoo utazame baraza la wawakilishi hawana ishu,mimi naomba muungano ufe uone watavyolia na viongozi wao wasiokua na elimu wala maarifa kama mnabisha fuatilieni data za viongozi wakizenji mnaowafahamu akiwemo huyo MMAKUNDUCHI yaani SHAMSI kishamtasema maneno yangu kweli au ungo,we mnadhani watoto wao wanaonewa kufutiwa matokeo? la hasha wanafeli kweli hawana muamko hawa:
   
 6. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hawana lolote la kutufanya hawa Wapemba. Tuwalee sie halafu watushinde, hata siku moja.
  Kikubwa ni kuyaacha yaende zao kwani hakuna haja ya kuendelea kujiunga na ndugu asiyekutaka. Let them go forever.
   
 7. l

  lum JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  wana JF hebu punguzeni jazba
  mshasema wazanzibar mmetulea,mnatulisha,mmetukomboa ..mtoa mada anauliza JESHI LIKO WAPI, hiiiiiii yote hayo nikwa kijisiwa mlichoomba kuungana nacho 1964.ss tunasema
  Wazanzibari katiba tunayo, tunachotaka nchi yetu sio katiba, zanzibar kwanza shengesha baadae
  kama mnahisi mnazo nguvu za kutosha kutuzuia tusidai chetu haya azeni sisi tumalize mkimwaga mboga tunamwaga ugali tutawafanya msahau vita vya uganga ''we will give u a leason''
  Yap wacjigambe kuwa zanzibar haina jeshi walokua nalo ni la tanzania sio la tanganyika
   
 8. M

  MTZmakini Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zanzibar mkijetenga mjue wazi kuwa kisiwa cha Pemba nacho kitataka kujitenga na Unguja. Na wala sitashangaa kuona Pemba bado wanaunga mkono Mungano. Sijui itakuwaje iwapo kisiwa kinachotaka kujitenga ni cha Unguja tu, ambapo Pemba wenyewe bado wanaunga mkono Mungano.
   
 9. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Bado sijapata jibu la nini ni faida za muungano huu ktk kizazi hiki. Suala hapa ni kuvunja hicho mnachoita muungano hlf tuwe na mahusiano kama mataifa jirani kama ilivyo Mozambique, Malawi, Zambia, DRC nk. Watu mnaosema sijui Pemba nao watajitoa zanzibar, inatuhusu nini??? Wekeni wazi faida za huo 'muungano' vinginevyo tuwaache wapiga kelele waendelee kupiga kelele huko baharini.
   
 10. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  mi nataka wajitenge ccm ifie mbali. muungano wa tanganyika na zanzibar ndo umeleta ccm. wakijitenga ccm inakufa wanatafuta jina lingine sijui itaitwa tanu ata sijui lakini zanzibar hawataki ccm, asp wala taa. wao wanataka cuf halafu wajiunge jumuia ya uarabuni kama zilivyo libya na misri. ndo maana unaona zanzibar ina ukaribu sana na hizo nchi. timu yao ya taifa utaskia imeweka kambi misri. waondoke tuu.
   
 11. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Nyerere amesha fariki. Hakuna kinacho tokea sasa kinacho muathiri. Kina athari walio hai na kizazi kijacho. Kwa hiyo kama tuna bakisha muungano kwa ajili una manufaa kwetu sawa ila tusi tetee muungano kisa tu uliasisiwa na marehemu. Kuna msemo usemao "The only thing that is constant is change". Namheshimu sana Nyerere na atabaki kuwa icon wa Tanzania ila "life is for the living" and the dead only have dreamless sleep.
   
 12. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,880
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  jaribu kushirikisha ubongo utaona faida za muungano.
   
 13. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #13
  May 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,819
  Likes Received: 36,926
  Trophy Points: 280

  Hakuna nchi inayoitwa zanzibar.
  Zanznibar si nchi bali ni sehemu ya tanzania, swala la kujitenga halitatokea kamwe kwani hakuna sababu ya msingi ya kutenga sehemu ya nchi yetu that why hamna capacity ya kuingia kwenye treaty with any state pasipo Tanzania.
  Nawashauri nendeni shule ili muende sambamba na soko la ajira na uchumi kwa ujumla.
  Hakuna nchi inayoitwa Zanzibar, na haitatokea kamwe.
  Huyo ambaye mnamwita raisi wa Zanzibar ni ceremonial tu, ameapishwa kama waziri wa kawaida kabisaa.

   
 14. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Degedege kama inaathiri ubongo vile..!!! Naku-challenge uweke wazi faida za muungano! Kama zipo ni suala la anayezijua aziweke wazi ili wasiozijua wapate uelewa. Hii haina haja kuweka ligi hapa, mwenye kujua faida hizo kwa kizazi hiki hebu tuelimisheni. Vinginevyo tulieni muone muungano unavyojifia mbele ya macho yenu.
   
 15. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #15
  May 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tena unauliza wewe mzanzibari? kwenu umeme haukatwi, Unguja saa moja kwa siku, Pemba hata kidogo, Dar kutwa bila umeme, mikoani ndio usiseme.
  Umeme ni nishati ya Muungano na is from Mainland, contributions zenu Zanzibar katika nishati kama sio kutumia tu ni nini? licha ya kuwa hata bili hamlipi Tanesco? na nyinyi Zeco shirika lenu la ugawaji zanzibar wasiotaka hata kugusia kuwa umeme unatoka Tanesco wanawalangua mahoteli ya kitalii kwa bei ya kinyama na huku pesa hamleti Tanesco? hili la nishati ni moja tu ya jinsi hii sehemu yetu wenyewe tulioirudisha ndani ya ramani yetu inavyoenda kifisadi kwa huruma zetu Watanganyika tuliostaarabika.
   
 16. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #16
  May 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wanapewa mpaka mgawo wa gesi dhahabu, almasi, tanzanite na kadhalika wao wanatuchangia nini? wana serikali ya kifisadi tupuuuuu, kisha eti tunawaleta bara watuongoze tena?
   
 17. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #17
  May 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu wewe unajua, napinga miaka 1000 kama kuna mtu anabisha kuwa hakuna kitu kitakachoitwa nchi ya Zanzibar, wazanzibar ni kama vitoto bado vinacheza, au ni mfano wa mas hoga wanaojua kuwa wao ni wanaume lakini wanatia wanja makusudi na huvaa kike, wanajua kuwa Shein ni Waziri asiye na Wizara Maalum, lakini wanajisemea eti tuna rais (mbona hata mimi ni katika maduka yangu?) eti wana bendera (mbona makampuni mengi tu yana bendera yake?) eti wimbo wao wanasema wimbo wa taifa kiukweli ni wimbo wa serikali na mbona makampuni mengi yana wimbo wake? hata katika kabila moja bara kila mtoto anapewa wimbo wake akisaliwa tu. Serikali moja tu ndio dawa!
   
 18. takashi

  takashi JF-Expert Member

  #18
  May 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 909
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kichaa aliyekunywa pombe...jf, yageuka kuwa uwanja wa porojo.
   
 19. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #19
  May 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kweli wapo brainwashed kweli, mbona wanajiita waarabu kumbe weusi kuliko mkaa hapohapo zanzibar, wanautukuza uarabu kweli kwa ujinga wao, hali yao ni nzuri kuliko ya hao wanaowaiga, hawa wangeyapata ya Somalia tu kama wangeendelea kusikiliza vikundi vya UAMSHO vinavyosaidiwa na magaidi wenzao toka Iran ambayo sawa na vile vya Boko haram Nigeria na Mahakama za Kiislamu somalia, tetesi za kweli kuwa walipogusia kufukuza watalii tu hapo zanzibar kuna wale waliokuwa hawajui ajenda za wenzao ndio wakajua kuwa kumbe nia sio kukomboa zanzibar kiuchumi au kimaslahi, bali ni mtandao tu wa waislamu wenye msimamo mkali
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  May 1, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  wajitenge ili wafe na njaa! ila watakula pweza
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...