Majambazi ya DRC yaua askari wa Tanzania ziwa Tanganyika, OC-CID apigwa risasi kifuani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majambazi ya DRC yaua askari wa Tanzania ziwa Tanganyika, OC-CID apigwa risasi kifuani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAUMZA, May 2, 2012.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Wanajami, leo mchana kumetokea mapigano makali kati ya askari wa jeshi la polisi na Jwtz kwa upande mmoja na majambazi kutoka congo. Katika mapigano hayo Oc-cid wa Kigoma bwana Mohamed Kilonzo amepigwa risasi kifuani pamoja na askari polisi mwingine amepigwa risasi ya shingo. Kwa upande wa Jwtz, askari mmoja kavunjwa miguu, mwingine risasi imeingia kiunoni na mwingine kapigwa mkononi. Hadi ninapoleta taarifa hii, majeruhi wapo theatre takribani masaa manne sasa na madaktari wanaendelea kufanya jitihada za kuwasaidia. Na kwa upande wa adui, habari zilizopo ni kuwa wote wameuawa. Chanzo cha tukio hili ni kuwa majambazi hao kutoka Congo kumteka raia wa Tanzania na askari wetu kutaka kumuokoa. Tuombe Mungu awaponye


  Updates:

  FIKRAPEVU: Majambazi wa DRC waua polisi wa Tanzania ziwani, JWTZ wajeruhiwa

  http://www.fikrapevu.com/habari/majambazi-balaa-ziwa-tanganyika-polisi-wa-tanzania-auwawa-jwtz-wajeruhiwa
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  tuwaombee mungu makamanda hawa na wote wale wenye jukumu la kuilinda nchi na wananchi wa Tanzania.

  Mungu ibariki Tanzania.
   
 3. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  poleni. mungu awaahueni
   
 4. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  wanganyika ndo wapi? Usiwe na papara wakati unaandika!
   
 5. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,778
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  cdhan km TANZANIA inacondact military drill za kutosha kwa majeshi yetu.....kuna haja sasa ya military drill zifanyike mara kwa mara ili majeshi yetu yawe na hari ya utayari kuliko kushitukizwa lasivyo maafa yatakua makubwa
   
 6. GEMBESON

  GEMBESON JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 256
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Bro. hii taarifa ni kubwa, Rekebisha hiyo Titre yako. weka neno 'Ziwa Tanganyika' ili ieleweke vizuri. Mungu awasaidie hao makamanda wetu waweze kupona.
   
 7. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  JWTZ hailindi tena mipaka yetu,inalinda masanduku ya kura
   
 8. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,336
  Likes Received: 6,684
  Trophy Points: 280
  na hiyo uliyo andika na wewe ni nini!coloured
   
 9. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Daah! its so sad, ila Mungu atawapa ahueni wote waliojeruhiwa katika tukio hilo na kurejea katika hali zao za kawaida. Tuzidi kuwaombea Watanzania wenzetu.

  Serikali nayo inatakiwa kuwa makini kidogo na matukio ya aina hii yanayojitokeza ktk mipaka yetu, kama watu wanaweza kuingia hadi ndani ya mipaka ya nchi yetu kuteka raia na kutaka kuondoka nao hii inamaanisha sisi kama raia hatupo salama hata kidogo ndani ya nchi yetu.

  Haya ni matokeo ya kila kitu kuendeshwa kisiasa nchini ambapo vyombo vya ulinzi na usalama kazi yake kubwa kuwashikisha adabu wapinzani na kuwalinda viongozi wa serikali badala ya kuwalinda Watanzania wote.
   
 10. Optic Density

  Optic Density Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jambo la mbolea ni kwamba Mtoa mada amekuwa msikivu kama JK, amesharekebisha hii nyuzi.
   
 11. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Iweke vizuri kwani hii itawachanganya wana jamii.
  1.Inaonekana hapa kuna vita vya aina mbili, moja ni askari wetu wenyewe kwa wenyewe yaani TPDF(JWTZ) na PF (POLISI)
  2.Inaonekana hapa kuwa vita vya pili ni kati ya majambazi toka DRC wakipambana na Polisi wetu....Ni hivyo?
   
 12. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Jamani poleni wote mlioumia!!Mungu awaponye!!
   
 13. Typhoid

  Typhoid JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha ujinga wa kishamba na wewe mbwa kwani hujawahi kukosea kuandika?watu tunaumia kusikia watz wenzetu wameumia nawewe unaleta ujuaji wako hapa pambafu!
   
 14. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Asante sana kwa kutufahamisha.
   
 15. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Bad enough, askari wetu waliku wanatumia mitumbwi. Zana za patrol ziwani kama boti za fibre zipo na hazina mafuta. Askari wanafanya kazi katika mazingira magumu sana. Wapo ktk risk na vipato vyao ni duni. Serikali haiwathamini kabisa
   
 16. k

  kipimo JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 830
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  poleni makamanda wetu, kweli mazingira ya kazi yenu si kama ya wahasibu, Mungu atawalipa kwani serikali yetu haina pesa
   
 17. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Duh! hii kali!!
   
 18. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #18
  May 3, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wewe kweli ni bongolala, watu wamekufa wakitetea Mtanzania au kwako wewe yale yalikuwa masanduku ya kura. Usitafute nikutukane nipewe ban. Nakwambia ukizidi nakutukania mamako na nile ban. Watu wanapoteza uhai wewe unaleta ujinga.
   
 19. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #19
  May 3, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nimeshasema sana humu, sisi hatuna jeshi, jeshi letu has been corrupted. Ma-askali wetu wanachojua ni kuiba tu kama kina Lt. Gen. Shimbo, lakini kwenyd battle field hakuna kitu, sasa wacha wafundishwe adabu hawa jeshi-ccm...
   
 20. paty

  paty JF-Expert Member

  #20
  May 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,253
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  hawa ma_boya wanachojua ni kupiga wananchi wasio na silaha wanaoandamana kwa amani, waoneshe uwezo wako kwa wenye SMG kama wao ili tujivunie jeshi letu , zaid ya hapo they are all Pu***es
   
Loading...