Tume ya katiba - matumizi mabaya ya pesa yanakuja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tume ya katiba - matumizi mabaya ya pesa yanakuja

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kisendi, May 3, 2012.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Wana JF tutafakari kwa hili mimi binafsi naona hakuna haja ya tume kupewa nyumba kwa kila mjumbe wa Tume?? Hii ni kama matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi. Kuna haja gani ya kununuliwa gari mpya V8 MPYA KWA KILA MJUMBE.

  Serikali ilivyo na magari mengi pale wizarani kila mkoa kuna magari mengi tu. Kwa nini tusiyatumie hayo. Mnasemaje wadau kwa hili.
   
 2. p

  papillon Senior Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  @ kisendi, hivi wanapewa na nyumba? Mi niliona wanakabidhiwa ofisi jana kwenye taarifa ya habari TBC na ITV
   
 3. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Jana taarifa ya habari walionyesha MAGARI 30 YANANUNULIWA, NYUMBA NA MLINZI. Kwa hali ile kama mjumbe alikuwa anaishi maisha ya kawaida. Kama kuna mama mmoja namjua anamaisha ya kawaida tu na ni mjumbe wa tume ya katiba. Je hali hiyo haitamushawishi hata kuingiwa na hamu ya rushwa maana kama alikuwa na life ya kati na leo hii kwa muda mfupi na hii tume atakuwa na gari, atakuwa na nyumba ili hali ana nyumba yake tayari na anatokea kwake baada ya hapo itakuwaje. TUSUBIRI lakini wanahabari watusaidie. Hizi tume zitumiwe vizuri ili TZ isonge mbele
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,504
  Likes Received: 19,921
  Trophy Points: 280
  ngoja wale nchi..nchi inaliwa kila siku ...sijui wataondoka lini hawa
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Duh kumbe kuwa kwenye Tume ni deal. Nyumba hapa Dar na Gari jipya. Bila shaka wakimaliza kazi wanakopeshwa.

  Kupewa gari sawa ila kwa kila mjumbe sioni kama ni sawa. Kwa kuwa watakuwa wakizunguka nchi kwa makundi wajumbe wawil wangepewa gari moja ili iwe sehemu ya kubana matumizi. Na wao hawana huruma kwa watanzania? Ngoja wakianza kuzunguka huko mtambaswala hadi mtego wa noti waone wananchi wanavyoishi nadhani watashaangaa.
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  papillon wanapewa nyumba tena hapa Dar. Sasa nyumba zilishauzwa hizo za kuwapa zitatoka wapi? Naona mzigo mwingine wa kuwalipia hotel hawa jamaa ama kugeuzi nyumba zao kuwa za kujipangisha na kulipwa mahela.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,856
  Likes Received: 498
  Trophy Points: 180
  Mimi nawashauri wangenunua Gari za Kawaida Kama suzuki au Rav 4 kwa safari za mijini na gari chache kwa off roads!! Savings wanunue Hata ambulance kwa Wagonjwa na Majeruhi!! Nadhani Budget ya Hii kitu kwa Mpango Huu Itakuwa Billion 150!!!
   
 8. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,792
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  hata mimi mkuu imeniuma sana,tume imekua ajira mpya kwa managing director fulani.suala nyumba limenishtua hata warioba
   
 9. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45

  Hata mimi siwaelewi nyumba. Akina Baregu na Warioba si wananyumba. Naona kama ni dili la wenye nyumba hasa watu wa serikalini wana nyumba zao watawapa ili walipwe kwa muda watakaokaa hizo nyumba. Tanzania bado tunasafari ndefu.
   
 10. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hili li nchi hili...
   
 11. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ujumbe wa Tume siyo ajira,naona ni viongozi kama Katibu mkuu Kiongozi amepotosha ushauri wake kwa JK na utawala mzima.Tume ingeweza kufanya kazi zake kwa kushirikiana na ofisi za DED,RC, DC huko mikoani na mjini kama Dar wangeweza kutumia magari ya kawaida kama RAV4,SUZUKI .
   
 12. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,583
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
  duh! Rushwa wazi wazi. Nyumba dar ? Au ni mobile hizo nyumba?
   
 13. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ivi suala la gari na nyumba kila member ni utani au masihara!
  Na iyo bajeti ilipitishwa na nani?
   
 14. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #14
  May 3, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hii ni Ufisadi namba moja. Nyumba kila mjumbe. Hii serikali ya vilaza
   
 15. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #15
  May 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi binafsi nlipoisikiliza ile taarifa ya habari nilimuelewa KMK kuwa Tume itakabidhiwa magari 30 sikumbuki kusikia akiyataja ni aina gani na Ofisi ambayo walikabidhiwa ile jana; sasa kama kuna hili jingine la nyumba kwa kila mjumbe na Vx~V8 mpya mmh kwakweli hata Tume sasa nao kama wameliafiki hilo kwakweli hawana uchungu na nchi hii, tutaandamana kuipinga TUME"
   
 16. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #16
  May 3, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,792
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  kwa nini govt huwa ina kimbilia sana deal la kununua magari?wakati xray ya mkoa wa lindi mbovu miezi 3 sasa kisa pesa?
   
 17. k

  kamau ngilisho Member

  #17
  May 3, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ununuzi wa magari mapya30 ni kweli lkn nyumba na ulinzi cna uhakika bali ulinzi wa polisi nawa kielektroniki utatumika kwa jengo la TUME na sio kwa kila mjumbe.
   
 18. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #18
  May 3, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  siyo nyumba tu, ni nyumba mpya.
   
Loading...