David Silinde ashinda kesi yake ya kupinga ushindi wake dhidi ya DR lucas Siame

Apr 30, 2012
21
7
Breaking Newzz:Nako huku Mbeya Makama kuu imetupilia mbali hoja za Dr.Luca Siame alizofungua kesi ya kupinga Ushindi wa Jimbo la Mbozi Magharibi.
Mhe.David Silinde ameshinda kesi hiyo hii leo.
Uhuru na Haki katika Utendaji wa Mhakama bado unaendelea katika Kesi za Uchaguzi......!!!
 
Breaking Newzz:Nako huku Mbeya Makama kuu imetupilia mbali hoja za Dr.Lukas Siame alizofungua kesi ya kupinga Ushindi wa Jimbo la Mbozi Magharibi.
Mhe.David Silinde ameshinda kesi hiyo hii leo.
Uhuru na Haki katika Utendaji wa Mhakama bado unaendelea katika Kesi za Uchaguzi......!!!
 
Mmmh wengine walifungua kesi kwa ajili ya kuondoa AIBU ya kushindwa na watoto wadogo...!!
 
Mkuu umeanzisha nyuzi mbili vichwa tofauti, futa moja basi!!

Shukrani kwa taarifa!
 
Breaking Newzz:Nako huku Mbeya Makama kuu imetupilia mbali hoja za Dr.Luca Siame alizofungua kesi ya kupinga Ushindi wa Jimbo la Mbozi Magharibi.
Mhe.David Silinde ameshinda kesi hiyo hii leo.
Uhuru na Haki katika Utendaji wa Mhakama bado unaendelea katika Kesi za Uchaguzi......!!!

Haya bana tunashukuru kwa taarifa, ila kichwa cha habari tofauti na maelezo! Naona unajifunza uhandishi wa habari wa gazeti la Uhuru!
 
Unakiherehere mno cha kuandika mpaka umechanganya heading. Nway asante kwa updates.
 
Breaking Newzz:Nako huku Mbeya Makama kuu imetupilia mbali hoja za Dr.Luca Siame alizofungua kesi ya kupinga Ushindi wa Jimbo la Mbozi Magharibi.
Mhe.David Silinde ameshinda kesi hiyo hii leo.
Uhuru na Haki katika Utendaji wa Mhakama bado unaendelea katika Kesi za Uchaguzi......!!!

Badilisha heading bwana.Nadhani siyo dhidi ya Mahanga. It must be someone else. Hebu tujulishe aliyeshinda ni wa chama kipi. Hizio kesi zilikuwa hazisikiki kabisa. Wengine ndio tunasia sasa kuwa kumbe kulikuwa na kesi hizi na zile...
 
Unajua leo mawazo yalkuwa kwenye kesi ya Mahanga vs Mpendazoe na ndo maana heading ikawa hivyo bt namshukuru admins wameshafanya marekebisho.
Mhe.Davidi Silinde(chadema) ambaye ndiye Mbunge wa sasa huko Mbozi Magharibi ameshinda kesi yake aliyofunguliwa na Mbunge wa zamani wa jimbo hilo 2005-2010 Dr.Lukas Siame
 
Mbozi magharibi David Silinde wa kwa tiketi ya CHADEMA ashinda kesi ya uchaguzi dhidi ya Dr Lukasi Siame wa ccm

Source; Mbeya Yetu

Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu. (Mambo ya Walawi 11:07-08)
 
umetoka wapi huku. tunaomba comments nyingine zisiruhusiwe kwahi kula ua kuto kula ni imani ya mtu. sasa imani na siasa , hasa za tanzinia wapi na wapi?
 
Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu. (Mambo ya Walawi 11:07-08)

Duh, hii imetokea wapi tena? Hata hivyo hujatenda haki
kwani umeanzia kati. Ungeanzia pale wanapotajwa
Sungura na Ngamia ningekuelewa zaidi...
 
Back
Top Bottom