Siasa za 'kupokezana vijiti'

Kwitu Kumpepo

Member
May 2, 2012
69
4
Nchi yetu kwa sasa tuna utaratibu wa pekee kabisa. Bunge letu linakuwa na wabunge wapya kila mwezi kutokana na mizengwe inayokithiri katika chaguzi zetu na kusababisha mzigo wa gharama za chaguzi ndogo ndogo kila leo. Hivi ni Ilani gani itatekelezeka hadi kufikia maendeleo kwa utaratibu huu? Kweli sikio la kufa halisikii dawa.
 
Back
Top Bottom