Mhe. Opulukwa ashinda kesi dhidi ya pingamizi alokuwa amewekewa

Bukutonaga

JF-Expert Member
Jan 18, 2011
246
46
Wana Bodi hapa ni nderemo na chereko kwa pamoja CDM tumetoka kidedea tena hapa ktk viwanja vya mahakama Maswa tumeyagalagaza tena Magamba.PEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEOOOOOOOOOOOOOPPPPPPPPPPPPLEEEEEEEES, P O W E R FOR LIFE!

:clap2:

source: mIMI MWENYEWE
 
Bukutonaga kama sijakusoma vizuri.
Opulukwa ameshinda kesi ya kupinga ushindi wake wa ubunge ama kesi dhidi ya pingamizi alilokuwa amewekewa, na kama ni pingamizi lipi hilo?na hiyo itamaanisha kwamba kesi haijaisha!?
 
Last edited by a moderator:
Habari rasmi kutoka Maswa ambako Mahakama Kuu Kanda ya Magharibi ilikuwa imekaa kutoa hukumu dhidi ya kesi ya kupinga matokeo ya ubunge wa Opulukwa (CHADEMA), ni kwamba mbunge huyo ameshinda kesi hiyo iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea wa CCM, Salum Hamis maarufu kwa jina la Jambo.
 
Bukutonaga kama sijakusoma vizuri.
Opulukwa ameshinda kesi ya kupinga ushindi wake wa ubunge ama kesi dhidi ya pingamizi alilokuwa amewekewa, na kama ni pingamizi lipi hilo?na hiyo itamaanisha kwamba kesi haijaisha!?
Mkuu Mwita Maranya ni kweli hujui kuwa Opulukwa alikuwa amewekewa pingamizi na wana CCM? Pingamizi limetupwa kwa hiyo ameshinda kesi.
 
Last edited by a moderator:
Bukutonaga kama sijakusoma vizuri.
Opulukwa ameshinda kesi ya kupinga ushindi wake wa ubunge ama kesi dhidi ya pingamizi alilokuwa amewekewa, na kama ni pingamizi lipi hilo?na hiyo itamaanisha kwamba kesi haijaisha!?

Ni kesi ya KUPINGA USHINDI WAKE!!
 
Last edited by a moderator:
Habari rasmi zilizotufikia kutoka Maswa ambako Mahakama Kuu Kanda ya Magharibi ilikuwa imekaa kutoa hukumu dhidi ya kesi ya kupinga matokeo ya ubunge wa Opulukwa (CHADEMA), ni kwamba mbunge huyo ameshinda kesi hiyo iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea wa CCM, Jambo.

Ni nani nyie hata mumzuie Mungu wetu asitende?
 
Back
Top Bottom