Mnyika vipi jamani??wote update za ikulu,tupeni ya mnyika imekuaje?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyika vipi jamani??wote update za ikulu,tupeni ya mnyika imekuaje??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by massai, May 4, 2012.

 1. m

  massai JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  watu wote leo ikulu,ikulu....ahh inakera sana wakati kuna mambo ya msingi yanaendelea mahakamani.tupeni ripoti jamani kamanda wetu ,jembe MNYIKA noma yake inaendaje huko kwani nasikitika sana nipo sehemu ambapo redio zinazosikika ni za kenya,burundi ,rwanda na kongo.naombeni jamani na kuna watanzania wengi tu wanasubiri hiyo habari
   
 2. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Oyaaa vp Mnyika mbona mmekauka bwana!
   
 3. b

  bulunga JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35

  naanza kuhisi hii kesi haikuwepo leo
   
 4. mhagama1

  mhagama1 Senior Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kesi ya mh.mnyika imepangiwa siku nyingine na siyo leo
   
 5. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  aaaah! nimeelewa sasa! tarehe ya kesi ilikuwa leo lakini Jaji alikuwa anasubiri uamuzi wa jaji mkuu wa majaji JK ili ampe hukumu ya kusoma sasa kwa bahati mbaya jaji mkuu wa majaji JK alikuwa bize na baraza lake lingine na genge la unyonyaji ikabidi jaji ajifanye eti anamaralia ha! ha! ha! ili amsubiri kesho amuulize ahukumu vipi! Huu ndo ukweli
   
Loading...