Nawakubali sana Slaa na Mbowe; Mungu awape maisha marefu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawakubali sana Slaa na Mbowe; Mungu awape maisha marefu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUNTEMEKE, May 4, 2012.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  nimejitahidi kuzuia hisia zangu imenibidi sasa niseme ukweli, hawa viongozi wakuu wa vyama vya upinzani hapa Tanzania hususani CHADEMA Dkt. Slaa na Kamanda mbowe nimeamua nijiunge Hapa JF ili namimi nionyeshe hisia zangu za dhati kuwaombea kwa mungu waishi maisha marefu na salama ili watukomboe haraka iwezekanavyo.
   
 2. nahavache

  nahavache JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 869
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Taja walichofanya ili hoja yako iwe na maana. Isije ikawa ni sura zao tu ndio zimekuvutia
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ina maana hujui mpaka leo hao watu wamefanya nini mpaka leo hii? Upo nchi gani? Kama ni Zambia au Malawi ni sawa wewe kuhoji hivyo.

  Juma Kilowoko ni Sajuki msanii au ni jina tu?
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Amina.

  Dua yako imefika kwa Mungu.
   
 5. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Pamoja kamanda.
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Jenga hoja za kwanini unawakubali ili topic iwe more precious.
   
 7. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  aminaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 8. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Vijana naona 'ideas' zimewaishia sasa mnafuka moshi mchafu tuu! No wonder hii nchi ni maskini!
   
 9. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Hata mimi namkubali sana DK.SLAA kwa kumuondoa kazini kamanda Mwigamba aliyekuwa mwasibu mkuu chadema makao makuu na nafasi yake akampa mchumba wake josephine maana Josephine alikuwa anategemewa sana na UN kuhusu mambo ya accountant so kipaji kilikuwa kinafia kitandani!

  Pia namkubali sana Slaa kwa kumwambia Chiku Abwao akikopeshe chama milion 5 kwa ajili ya uchaguzi wa mwenyekiti wa mkoa wa Iringa na akampa mamlaka ya kusimamia uchaguzi huo na kumruhusu Chiku mwenyewe kuwa mgombea wa uenyekiti wa mkoa na mwisho Chiku kushinda kiti hicho!

  Tunashukuru busara za kamati kuu ya mwisho wa mwezi wa4 kutengua uamuzi huo ambao wajumbe wa cc waliconclude kwamba Dk. Slaa hafai hata kuwa kalai wa hospital ya kata!
   
 10. Tumaini Makene

  Tumaini Makene Verified User

  #10
  May 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 2,617
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180

  Si vibaya tukimsaidia kuona hata kama mwenye macho haambiwi tazama. Wanaongoza na kusimamia siasa za vuguvugu la kusaka mabadiliko ya kweli, kimfumo na kiutawala nchini. Wameshaweza kuonesha hilo pasi na shaka yoyote. Wakiwaongoza makamanda wengine pamoja nao katika safari hii ngumu lakini ambayo imeshaanza kuonesha mafanikio.

  Mojawapo ya mafanikio hayo ni kuwajengea Watanzania uthubutu wa kudai mabadiliko, kupigania haki, kudai uwajibikaji wa serikali na watawala kwa wananchi, lakini kubwa zaidi ni kuwaonesha Watanzania KUWA INAWEZEKANA, TUNAWEZA TUKIAMUA, Kwani mamlaka yote ya uendeshaji na usimamiaji serikali na kuongoza nchi yanatoka kwa umma. Na hii ndiyo mahakama kuu kuliko zote.
   
 11. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #11
  May 4, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Umenena vyema sana kiongozi. Imefika muda sasa hawa viongozi vilaza Tanzania wapumzike maana hawana hoja nyingine zaidi, kazi yao kubwa ni kuchochea vuruguna hatimaye watu wanakufa(Arusha).
  .
  "Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
  .
  "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
   
 12. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mimi namkubali sana kamanda Mbowe kwa kuwahadaha watanzania kwa kitendo chake cha kurudisha gari la kambi rasmi ya upinzani (kub) kwa mbwembwe nyingi mbele ya waandishi wa habari kama Tumaini makene na kulichukua tena kimyakimya!
   
 13. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  JOSEPH KONI ni PM ili niwataaarifu askari wa museveni wakutie mbaroni na mie nipate zawadi:angry:
   
 14. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hii mada ingeenda jukwaa la mapenzi maana haina uhusiano na siasa hata kidogo!
   
 15. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #15
  May 4, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  tuntemeke at work..KAKA TUMEKUCHOKA.Unakuja na ID tofauti kupalilia ela ya nape.jaribu kazi nyingine kama umekosa nafasi CDM,Huwa hatuwabebi wasiokuwa na uchungu na wapigakura.
   
 16. M

  Malolella JF-Expert Member

  #16
  May 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Umeona ukianzisha thread za ***** wako zinatupiliwa mbali hivi sasa umekuja kivingine kwa kuingia katikati ya thread.. TUNTEMEKE unakazi sana mwaka huu.
   
 17. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #17
  May 4, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  wewe mzima kweli? Ama kichaa,hueleweki
   
 18. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #18
  May 4, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Utakuwa una chuki binafsi tu wewe, hushangai wenzako wote wanaunga mkono hoja?...utakuwa magamba tu wewe..
   
 19. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #19
  May 4, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Hana u koni wwte huyo ni gamba tu!..mwache aende zake huko...hakuna kama SLAA bana...
   
 20. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #20
  May 4, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Hana UTUNTEMEKE wowote huyu amedandia hoja tu hapa...shame on....
   
Loading...