Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Napendekeza Heche awasiliane na Malemo aje atutembelee na kuhutubia au kuwe na mdahalo kuhusu nafasi ya vijana katika kupambana na ubeberu na unyonyaji na vikwazo vijana wazalendo wanavyo face...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
ndugu wana JF na Watanzania kwa ujumla wenu, tutegemee nini kwa baraza hili jipya la Mawaziri. Mimi ninaona ni Themos tu lilibadilishwa lakini chai ni ile ile. Mimi binasfi nilitegemea kuwa Wale...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jamvi ninavyojua mimi Wizara ya Afya sio ya muungano. Walioteuliwa katika wizara hii(Waziri na Naibu wake) ni wabunge kutoka upande wa pili wa muungano(Zanzibar). Je hili linawezekana ...
0 Reactions
0 Replies
605 Views
Katika wale walioachwa nje ya mabadiliko haya kuna wale Rais aliona lazima wachukue majukumu ya kisiasa kama wakuu wa wizara lawama zote zinawaangukia wenyewe na Jk mwenyewe kugusia hili jana...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Picha:MAALIM SEIF RAS AL KHAIMAHWritten by administrator // 04/05/2012 // Habari-Picha // 1 Comment Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika picha ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu jamaa ndo kamaliza kazi ya kitaifa.Tuangalie watakao mwangusha katika utawala wake wa kumalizia.Nionavyo mm hawa hamna kitu.J. Makamba, A. Malima, Prof. Maghembe,Kawamba, ...Wasira, Mwinyi...
4 Reactions
67 Replies
7K Views
- Wengi wetu tunaotaka mabadiliko ya kweli kwa taifa letu, huwa tunawachukulia Chadema seriously kama chama as the best alternative from CCM, lakini pole pole au kwa kasi sana wamekuwa wakijenga...
7 Reactions
122 Replies
9K Views
NAONA MJADALA UMEPAMBA MOTO ILA KUMKOSA YAHAYA MUHAMED TUNAKOSA UHONDO JF. ombi kwa bwana yahaya muhamed atusaidie kuweka hata id ya star tv ili kila kipindi jf ishirikishwe.namsikia doto buhendo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika hotuba yake (Raisi) ametoa utaratibu mpya wa uwajibikaji ambao naona ni mzuri iwapo utajengewa utaratibu wa wazi. Kasema kuanzia sasa, uwajibikaji utahusisha utahusisha makundi Matatu...
0 Reactions
2 Replies
907 Views
Anza na mkurugenzi mtendaji anaganzi huyu mtu, ELIMU imeoza ofisi ya DEO-Bagamoyo isafisheni madudu yamejazwa na mkuchika na sasa KILE kimiss KINABWEKA TU...MWA MWAA MAHHIHII HOVYO KWELI KWELI
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Rais wangu kama una kusudio la kuchagua Baraza jipya la Mawaziri ili kuziba mianya katika baraza lako liliopwaya kutokana na kashifa mbalimbali na utendaji usio ridhisha kwa umma na kukiuka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Au watasubir 2015 wapewe wizara?
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Watu sita wamekamatwa na polisi wilayani Arumeru, watatu kati yao kwa tuhuma za mauaji ya aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema, Kata ya Usa River, Msafiri Mmbwambo, na wengine kwa tuhuma za uvamizi wa...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
UTEUZI wa Jemsi Mbatia. Unamaanagani kwangu. Ni siasa uchwala za kudili na watoa hoja na si hoja zenyewe. Tabia hii huzalisha wanaharakati wengine wengi zaidi na mapinduzi hatari. Yani ni...
8 Reactions
24 Replies
4K Views
Ni kesho jumamosi tar 5-may-12....viwanja vya NMC (Tahrir Squire)...Arusha, kuanzia saa saba mchana.... ukisoma tangazo hili....mjulishe na mwenzio.... M4C....daima....
17 Reactions
97 Replies
8K Views
KILA MTU KABLA HAJAPATA NAFASI YA KULITUMIKIA TAIFA ANAWAZA JE NI PESA KIASI GANI ANASTAILI KULIPWA KAMA UJIRA WAKE, HALI HII INASABABISHA KUMALIZA KIPATO CHA TAIFA NA UPUNGUFU WA BAJETI YA MAMBO...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hawa wanaoitwa tigo wanasumbua mpaka wafanyabiashara ndogondogo hapa mjini
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Wana bodi., Napenda kuuliza pia nipate ufafanuzi juu ya hili.. Jana tumemsikia mkuu wa kaya akitangaza baraza lake la mawaziri, na huku wale waliohusika na ufisadi wakiachwa.. Swali langu, je...
0 Reactions
2 Replies
924 Views
Wizara ni nyingi sana then zinafanana so ningeunganisha kama ifuatavyo' 1)Mahusiano na Utaratibu 2)Utawala Bora 3)Utumishi Hii ingekuwa Wizara moja Waziri mmoja na Naibu mmoja 1)Uwekezaji na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
JANUARY MAKAMBA kavishwa gamba rasmi baada ya kupewa unaibu waziri sasa ni kibaraka wa CCM zile kelele zake bungeni nadhani zitapungua na ZITTO atakosa kampan yake...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom