Siku za wezi wa mali ya umma zinahesabika-- Makamu wa Rais

sikiolakufa

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
411
54
Makamu wa Rais amemaliza kuhutubia mkutano mkuu wa ALAAT Kunduchi Dar es Salaam......amesisitiza wote waliohusika kukwapua mali ya uma watakumbana na mkono wa sheria....Source TBC
 
Makamu wa Rais amemaliza kuhutubia mkutano mkuu wa ALAAT Kunduchi Dar es Salaam......amesisitiza wote waliohusika kukwapua mali ya uma watakumbana na mkono wa sheria....Source TBC

Sheria ilshakatwa mikono,labda kama watakutana na mateke ya sheria.tanganyika sheria nikwa wezi wakuku na simajambazi ya mali za umma.
 
Achana na huyo anaitwa Makamu,hakuna lolote,hawaishiwi misemo the othertime walisema "dawa yao iko jikoni inachemka" wap bana!
 
Makamu wa Rais amemaliza kuhutubia mkutano mkuu wa ALAAT Kunduchi Dar es Salaam......amesisitiza wote waliohusika kukwapua mali ya uma watakumbana na mkono wa sheria....Source TBC
tumechoka na hizi tilalila....wasitufanye sisi watoto.system nzima ya magamba ni wezi...labda wawape
magwanda huo mkono wa sheria vinginevyo hamna kitu hapa.
 
Yan hao mawaziri wanamwogopa sana CAG kuliko huyo mliembatiza jina la makamu. Kama walimtazama tbc watakuwa wamwmtazama huku moyoni wakicheka sana.
 
Tujiulize wizi wa mali ya umma umeanza lini? watuhumiwa huwa wanafanywa nini? ni wakati gani sheria za Tz zinafanya kazi na hazifanyi kazi? Maswali ni mengi na inahitaji uwe na roho ya paka kuvumilia haya madudu.
 
Siku zinahesabika baada ya miaka 50?
Tena kwa kuwa JK kasema, wote wanaitikia wimbo wake;
wanafunzi wanaandamana kumpongeza, bado jumuiya
za chama na wazee wa chama. Punde tutasikia wakuu wa
mikoa na wilaya nao wanaunga mkono hotuba ya raisi.
:blah::blah::blah: Wacheni usanii!
Turudi kwenye mada, safari nyengine ya Kikwete lini?:plane:
 
Makamu wa Rais amemaliza kuhutubia mkutano mkuu wa ALAAT Kunduchi Dar es Salaam......amesisitiza wote waliohusika kukwapua mali ya uma watakumbana na mkono wa sheria....Source TBC

Mnafiki mkubwa huyo, kwani mambo ya ufisadi ameyajua leo? Kila siku hili jambo lilikuwa linapigiwa kelele, alikuwa wapi? Mchumia tumbo tu huyo na umakamu wake wa rais wa kupewa...
 
makamu wa rais amemaliza kuhutubia mkutano mkuu wa alaat kunduchi dar es salaam......amesisitiza wote waliohusika kukwapua mali ya uma watakumbana na mkono wa sheria....source tbc

hamna kitu hapo, yeye aendelee na ziara zake " aendelee kukata tepe kwa kufuungua masoko zaidi, na kukagua miradi kwa kutumia gharama ya walipa kodi, hizo gharama za ziara zingeweza kutumika ktk huduma za kijamii km kununua madawati, nk. watz tuna aina nyingi tu za ufisadi nyingine siyo direct kama huu wadhifa, nini anachangia kwenye ujenzi wa taifa na maendeleo ya wananchi?
 
Alikuwa anachamba mdomo tu huyo hana lolote, hana uwezo hata wa kumfukuza kazi ofisa mtendaji wa kata, ameamuwa tu kuosha kinywa.
 
Hizo siku tukishazihesabu wataanza kukamata wa meremeta,deep green,rada,epa ,ndege ya raisi,richmod,majengo pacha,iptl........... ama wataanzia wapi
 
Back
Top Bottom