Kwa hili nampongeza mbunge huyu wa CHADEMA

Tenths

Senior Member
Mar 2, 2010
111
45
Mbunge wa viti maalum Susan Kiwanga wa Kilombero kama sijakosea jina, amekesha stand ya Moro baada ya basi alimokuwemo kuzuiwa kuendelea na safari ya kuelekea Dar kutokana kufika Moro saa 5:00 usiku. Japokuwa mbunge angeweza kuchukua chumba cha kulala katika nyumba za wageni zilizopo karibu na stand lakini hakufanya hivyo na badala yake usiku huo aliutumia kutoa elimu kwa baadhi ya wasafiri walioonekana kuguswa na kitendo chake hicho cha kujichanganya na watu wa tabaka la chini la watanzania mpaka saa 12: 00 asubuhi muda ulioruhusu basi kuendelea na safari ya Dar, kitendo ambacho ni nadra sana kufanywa na wabunge wa CCM. Peoples...........
 
Sikujua siku hizi Tanzania tuna matabaka,

Good for her ameonyesha kuwa kiongozi si kuwahothi watu na siyo kuwa juu ya watu ila ni kufanya kazi na watu, kutambua hisia zao na pia kutumia muda nao ili kujua shida zao na matatizo yao.
 
Mapovu at its best
 
Chadema inajenga misingi mizuri sana ya uzalendo na kuthamini wananchi,hii ni dalili nzuri huenda tukawa na taifa lenye kujali misingi ya utu na kuthaminiana kama binadamu na kupunguza sana gap kati ya wenye dhamana ya kuongoza na waliowapa dhamana hiyo
 
Bado hajapata mkopo wa shangingi, mpe miezi mitatu mingine, kama utamuona tena stendi!
 
Wabunge wa cdm ni wazalendo sana tunajua hilo bila shaka yoyote. Angekuwa wa ccm asingefanya hivyo, gari anayo lakini aliamua kupanda basi ili aangalie jinsi nchi yetu ilivyo maskini. Hata sokoine alifanya hivyo!
 
"A leader is the one who KNOWS the WAY, SHOWS the WAY and GOES the WAY!!! Thanks honourables Kiwanga for such a powerful action you are Blessed..
 
Sikujua siku hizi Tanzania tuna matabaka,

Good for her ameonyesha kuwa kiongozi si kuwahothi watu na siyo kuwa juu ya watu ila ni kufanya kazi na watu, kutambua hisia zao na pia kutumia muda nao ili kujua shida zao na matatizo yao.

Elimu yako ya nn na wap ulisomea??? Social stratification hauijuwi????? Duuuuuuuu
 
Mbunge wa viti maalum Susan Kiwanga wa Kilombero kama sijakosea jina, amekesha stand ya Moro baada ya basi alimokuwemo kuzuiwa kuendelea na safari ya kuelekea Dar kutokana kufika Moro saa 5:00 usiku. Japokuwa mbunge angeweza kuchukua chumba cha kulala katika nyumba za wageni zilizopo karibu na stand lakini hakufanya hivyo na badala yake usiku huo aliutumia kutoa elimu kwa baadhi ya wasafiri walioonekana kuguswa na kitendo chake hicho cha kujichanganya na watu wa tabaka la chini la watanzania mpaka saa 12: 00 asubuhi muda ulioruhusu basi kuendelea na safari ya Dar, kitendo ambacho ni nadra sana kufanywa na wabunge wa CCM. Peoples...........

Source? Wewe ulikuwa wapi mpaka ukamuona Kiwanga anakesha stendi?
 
Yaani pumba kama hii ndiyo unaleta hapa jukwaani, kwanza huyo gwanda hana lolote zaidi sana ni kilaza tu kama wenzake(magwanda) walivyo.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Back
Top Bottom