Nimemuheshimu rasmi David kafulila, Mbatia usikubali uteuzi kama wewe si mamluki

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,652
2,627
Japo ana mapungufu ya kutokuwa na msimamo na usisimizi,kwa suala la umamluki wa Mbatia James NAMUUNGA MKONO.Mbatia kama wewe si mamluki na ni mwana demokrasia usikubali uteuzi.
 
Hawa wabunge wa upinzani wanaoteliwa na CCM ni wa kutiliwa shaka. Alianza Jussa, wote tumeufahamu msimamo wake kwa mageuzi baada ya mgogoro wa CUF na Hamad Rashid. Simkubali sana Kafulila kwa misimamo yake tete, lakini ni wakati wa kujipanga sasa ili uchaguzi mkuu wa chama ukifika, (Sina hakika kama chama hiki hufanya chaguzi) apatikane mwenyekiti mwingine anayeweza kukisogeza chama mbele badala ya huyu kibaraka Mbatia.
 
Wabongo nyie ni nouma, yaani wenyewe kwa wenyewe hamjikubari kwanini msiungane kumsaport mbatia ili mumpe kazi akafanye kuliko kuanza kulalama kama kawaida yenu.
 
Mbatia ni policcm yule. Ambao hamkumwelewa Kafulila,leo ndo eleweni
 
Japo ana mapungufu ya kutokuwa na msimamo na usisimizi,kwa suala la umamluki wa Mbatia James NAMUUNGA MKONO.Mbatia kama wewe si mamluki na ni mwana demokrasia usikubali uteuzi.

Hapo kwenye red kwa Mbatia itakuwa ngumu kwani udenda ulikuwa unamtoka kwa kukosa ubunge hadi akafungua kesi ya kumpinga Halima Mdee leo hii kapewa aukataee itakuwa ngumu sana. Mbatia sio mwana demokrasia ni ndumila la kuwili ama naweza kusema ni kibaraka wa CCM ndani ya upinzani.
 
plan no. 1 ya ccm ilikwama kumuingiza huyu mamluki bungeni kwa njia ya kura. Plan no. 2 ilikuwa kumfungulia kesi Halima Mdee kwa hoja za umbeya. Nayo ilikwama. Plan no.3 ya ccm sasa ni kumtunuku rasmi ubunge kama tuzo ya kazi bora ya umamluki.
 
NCCR Mageuzi kwa ujumla sio chama cha upinzani tangu kilipoanzishwa, lengo lake lilikuwa kuwadhoofisha wapinzani wa CCM, Jaribu kuwakumbuka waanzilishi wake, kuna Masumbuko Lamwai, Stephen Wasira (Tyson) Mabere Marando na wengineo jinsi wanavyofanya kazi, katika hao mmoja yuko CDM, Ni hatari kweli!
 
Wabongo nyie ni nouma, yaani wenyewe kwa wenyewe hamjikubari kwanini msiungane kumsaport mbatia ili mumpe kazi akafanye kuliko kuanza kulalama kama kawaida yenu.

Wangemtumia kwasababu ataweza kuingia jikoni na kwakuwa tunalalama chumvi haijakolea yeye tumpe hiyo kazi na kumtahadharisha asije akatia chumvi nyingi.
 
Asipokubali uteuzi atakua anatukana sisi watanzania amabo tunahitaji msaada wake kwani tangu mwanzo si alikua anatafta kuwa mwakilishi wa wananchi,,sasa kapata nafasi sisi huo uwakilishi wake tutaupima kwasababu haendi kufanyia uwakilishi wake ahera bali ni pale mjengoni km atakuwa tofauti na wengine tutaona tu so acha tumpe mda wa kuingia bungen kwa kutumia hiyo nafasi aliyopewa na mkuu wa kaya....naunga mkono hoja ya rasi kwa kmteua
 
Japo ana mapungufu ya kutokuwa na msimamo na usisimizi,kwa suala la umamluki wa Mbatia James NAMUUNGA MKONO.Mbatia kama wewe si mamluki na ni mwana demokrasia usikubali uteuzi.

Acha ujinga na ushamba, kukataa mbatia itakuwa ujinga na upumbafu wa mwaka na atafanana na uzumbukuku wako. Hii ni hatua muhimu nA CHANGAMOTO KWA WAPINZANI KUONESHA KWA VITENDO KUWA WANAWEZA KUWA MFANO MZURI WA UONGOZI
 
Mimi nilifikiri mnampa mkakati wa kwenda kupambana!

Huyo Kafulila unayesema unamheshimu rasmi amewafanyia yapi makubwa wananchi wake?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom