Think big! Mtu mwenye kinga ya kutoshatikiwa ana haki ya kutoa ushahidi mahakamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Think big! Mtu mwenye kinga ya kutoshatikiwa ana haki ya kutoa ushahidi mahakamani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MTENGETI, May 7, 2012.

 1. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Wana bodi hii ni kutaka kujua tu. mwenye ufahamu anifahanishe.

  mtu unakuwa huna haki ya kugombea kama huna sifa za kupiga kura nina uhakika ipo kisheria na kikanuni kwa mujibu wa vyama vya siasa.
  Hili la Mtu mwenye kinga ya kutoshtakiwa likoje. Kama yeye hashtakiwi ni kipi kinamfanya amtetee mtu mahakamani.
  ninajua kuwa unapotoa ushahidi wa uongo mahakamani unaweza kufungwa! Je huyu Rais Mstaafu (kwa Mfano Mkapa leo dhidi ya Mahalu) ambaye ana kinga! akaongea uongo na mahakama ikaproove sheria inasemaje hapo! naomba mnijuze wandugu
   
 2. s

  slufay JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Very logic debate ....
   
Loading...