mpayukaji
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 940
- 349
Habari zilizotufikia ni kwamba nchini Ufaransa kimeumana na rais Nicolas Sarkozy amebwagwa na Francois Hollande,. Kwa habari zaidi Bonyeza hapa.
Wee Mpayukaji hadi huko ni Peoplezzzzzz!!
Hahaaa... Nadhani hawa watu wanatabia za kufanana maana hata Rais wetu hizo ndizo zilikuwa tabia zake kipindi alipokuwa waziri wa mambo ya nje !!!!Ameungana na yule mjamaa wa Italia aliyekuwa analala kwenye sarakasi na warembo za usiku kucha.
Na yeye Sarkozy si alihusika kushika bango kun'golewa Ghadafi zamu yake imefika.
Na yeye Sarkozy si alihusika kushika bango kun'golewa Ghadafi zamu yake imefika.
Kasema hataki tena siasa...Na yeye atamfuta Chirac soon or later stay tune!
Sio kuhusika tu hata pesa zilizomuingiza madaraka Sarkozy, imekundulika alipewe na Gadafi halafu yeye ndio alikuwa
wa kwanza kupeleka ndege za kivita kuangusha utawala wa Gadafi.
Ameungana na yule mjamaa wa Italia aliyekuwa analala kwenye sarakasi na warembo za usiku kucha.