Kwa waziri wa fedha kivuli, maliasili kivuli, Nishati na madini kivuli n.k | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa waziri wa fedha kivuli, maliasili kivuli, Nishati na madini kivuli n.k

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasimba G, May 7, 2012.

 1. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  kama mwanaharakati na mpenda mabadiriko, naomba mawari kivuli wawe na ma consultant ikiwezekana hata kutoka pande nyingine za dunia ili kuja na mitazam tofauti isiyozoeleka katika jamii yetu hii ambayo itatoa mwanga wa bajeti endelevu na chanya kwa mtanzania.

  Ninaelewa kuwa hawa mawaziri kivuli wana weredi,na ni wabobezi katika wizara kivuli zao,ila naona kama wakiongezea na mitazamo ya sehemu nyingine duniani budget zao zitakuwa za ki pekee na kutoa mwanga kwa taifa, naomba kama kuna waziri kivuli anaye hitaji msaada jinsi ya kuwapata ma consultant wa sehemu nyingine duniani awasiliane na mimi.

  Nawasilisha.
   
 2. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Thank you for the changes!
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Kasimba G.
  Wewe umejitambulisha kama mwanaharakati na mpenda mabadiliko sasa mambo za budget yanaitaji taalum utayaweza kweli kuyatolea ushauri.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...