My Opinion: Kati ya hawa watatu LAZIMA mmoja awe rais 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My Opinion: Kati ya hawa watatu LAZIMA mmoja awe rais 2015

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Luteni, Jun 17, 2011.

 1. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nimeandika sababu zangu kwa kifupi sana lakini nafikiri zinabeba maana kubwa believe me.

  .................Vote for Dr. W. Slaa .........................OR ...........Vote for Hon. H Mwinyi ........ OR.......... Vote For Hon E. Lowassa
  [​IMG]...................... [​IMG]...................... [​IMG]

  ..............Chadema Candidate................................................... CCM Candidate............................... Independent Candidate

  ......Serikali ya Utawala wa Sheria na Haki...................... Serikali ya Umoja na Mshikamano................... Serikali ya Uwajibikaji

  Una maoni gani kati ya haya majina matatu ni yupi unayempa asilimia kubwa na kwa sababu gani kama kwa haya majina matatu hakuna unayehisi ni mgombea anayefaa ni yupi unayeona atafaa na kwa sababu zipi, natanguliza shukurani.
   
 2. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpambano ni Dr. Slaa na Mwinyi Jr; Lowasa kajichafua mwenyewe kupitia akina Milya
   
 3. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,057
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Barabaraaaaaa
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  God bless Tanzania as you always have
   
 5. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu wewe ni great thinker.
  Tatizo kubwa ni kwamba system imekusudia kumbeba Husein.
  Inabidi tuwe makini sana na kuweka nguvu kubwa kuhakikisha total overhaul ya system iliyopo, kupitia Katiba mpya.
  Otherwise watambeba, maana wanahitaji kuhakikishiwa usalama wao baada ya kuibaka nchi yetu tukufu..
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,462
  Likes Received: 19,834
  Trophy Points: 280
  Rais ni mmoja tu,usituchanganye hapa
   
 7. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Kafungue majunguforum uchangie kule.

  Uzushi mtupu.
   
 8. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Sidhani safari hii kama kuna mpango huo ila inategemea na karata zitakavyo changwa na chama chake kuanzia sasa wakati wa kujivua magamba.
   
 9. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hebu soma tena heading yangu sijasema marais wawili.
   
 10. T

  Technology JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Mtoe Mwinyi, weka jina la Rose Migiro
   
 11. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  i can bet,hakuna rais wa 2015 hapo..
   
 12. M

  Mkono JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 569
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kumshindanisha dr Slaa na hawa jamaa ni kumshushia hadhi yake mbele watz wanaomwamini kupita mtu yeyeto kwa sasas ndani ya taifa hili.
   
 13. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Kwa Independent ni katiba ya nchni gani? sio kwamba haipo hiyo?
   
 14. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Kamuulize aliyeibiwa mke kama huyu mzee anaaminika.
   
 15. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #15
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Lowassa kashaenda kutambika Nigeria kwa mchungaji Joshua na kuungama, japo amechafuka kweli ila hakati tamaa huyu mzee nomaaa
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mwiny mr urojooooo
   
 17. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #17
  Jun 17, 2011
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Edward ngoyai lowasa
  jasiri
  mthubutu
  mtawala
  kiongozi
  amekomaa kisiasa
  udhaifu wake ndio silaha yake
   
 18. m

  maggy Member

  #18
  Jun 17, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utawala la Sheria na Haki is the best way to go kwa sababu kama sheria zinafuatwa na haki inatendeka
  umoja, mshikamano, uwajibikaji, etc by default vitakuwepo tu.
   
 19. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #19
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,141
  Likes Received: 3,330
  Trophy Points: 280
  Nchi hii sio ya koo fulani..hatuwezi kutoa rais mara 2 kwenye familia moja..enough is enough!
   
 20. Ngigana

  Ngigana JF-Expert Member

  #20
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 180
  Luteni umenikumbusha October 2010. Mtu anayefaa kuwa raisi ni mmoja tuu na hata ukimwangalia ana HAIBA YA KUWA RAISI. Wawe na maisha mafupi wale wote waliohusika kuchakachua matokeo ya kura mwaka 2010. AMINA
   
Loading...