PICHA: Bungeni Nassari na William Malecela... Sasa Malecela atapata kura ya Nassari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: Bungeni Nassari na William Malecela... Sasa Malecela atapata kura ya Nassari?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Apr 13, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  [​IMG]


  Inavyoonekana Mh. Nassari atatoa kura yake kwa William Malecela kwa Ubunge wa East Africa

  Malecela kafika Nyumbani kaanza kujitangaza Vizuri
   
 2. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  sawa ndio inavyotakiwa, nyote mnajenga nyumba moja
   
 3. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kama watakuwepo wagombea watakaosimamishwa na CHADEMA, wanachadema wote tutawapa kura watu wetu.
   
 4. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Mkuu soma kanuni zinazoongoza uchaguzi huu..lol
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Baharia Bongo
   
 6. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,858
  Trophy Points: 280
  but kura ni siri ya mtu
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Watanzania wengi tuna maradhi ya Ukosefu wa Elimu ya Uraia!
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Le Mutuz keshaanza kurithi suti za Mzee Cigwiyemisi........baharaia na kaunda suti wapi na wapi?
   
 9. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Nyinyi mnacheza na wanasiasa. Hamuijui siasa.
   
 10. mooduke

  mooduke JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Wewe kwani Mbunge au umekurupuka unaongea usichokijua.

   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu tutoe tongo tongo kanuni zinasemaje kuhusu uchaguzi huu
   
 12. m

  muislamsafi Member

  #12
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli kuna sababu ya kutolewa tongo tongo tujulishe kuhusu kanuni tafadhali
   
 13. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,504
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Mzee wa Sauti ya Umeme anajua mtaji wa kura uko wapi...........!! CCM watagawana kura then CDM watadecide!!!
   
 14. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #14
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  wagombea kupitia CCM watapigiwa kura na bunge zima (yaani wapiga kura ni wabunge wa CCM + upinzani)

  Halikadhalika wagombea kutoka kambi ya Upinzani yaani CHADEMA,CUF,NCCR,TLP,UDP nk watapigiwa kura na bunge zima (wapiga kura ni wabunge wa CCM+ wabunge kutoka upinzani)

  Ina maana nafasi 8 za CCM bunge zima litapiga kura kuwachagua na pia nafasi 1 ya upinzani itapigiwa kura na bunge zima

  Ofcourse kilichonifanya nisigombee nafasi hii ni kwamba kanuni ni mbovu haziongozi uchaguzi ambao ni objective.Jumuiya ya Afrika mashariki iko katika mchakato wa kurekebisha kanuni hizi ,Unfortunately,mchakato haujakamalika kabla ya uchaguzi huu

  Kwa kanuni hizi utaona wabunge wa CCM hawatapiga kura kwa kuangalia uwezo wa mgombea kutoka upinzani bali wanapiga kura kukomoa chama fulani kwa mfano CHADEMA

  Willy Malecela,waambie wabunge kutoka CCM safari hii wawe objective.Historia ya uchaguzi wa EALA mwaka 2006 haiwaweki ccm katika upande bora katika vipaumbele vya taifa na maslahi yetu huko EALA.N

  Walimchagua Fortunatus Masha wa TLP ili kuiadhibu chadema ilikuw na mgombea bora (kama kawaida).Mgombea wetu alikuwa Prof.Baregu ambaye mwenyekiti wa CCM kwa kofia ya Urais leo amemuapisha kuwa mjumbe wa Tume ya katiba.Yaani leo prof.baregu anaonekana competent kiasi cha kuaminika kwamba anaweza kusimamia issue nzito yenye maslahi ya kitaifa.lakini mwaka 2006 alikuwa haaminiki,alikuwa below mgombea wa TLP.Angalia unafiki huu wa CCM.Siwachani/sipigi vijembe...huu ndiyo ukweli(calling a spade by it's name)
   
 15. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #15
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni kweli ila Mzee Masha siyo wa UDP kweli?

  Kanuni ni mbovu kweli kweli. Hapa kuna hatari kubwa kwa CDM kukosa mwakilishi kwenye Bunge la Afrika Mashariki. Pia haiingii akilini kuwa wapinzani wawe na mbunge mmoja tu.
   
 16. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mnahangaika bure mbona tayari Baharia ameshaenguliwa?
   
 17. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #17
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hakika mkuu naona umeona kitu na Le Baharia nadhani anaicheza hii karata.
   
 18. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #18
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hee hayumo kwenye kinyang'anyiro? Nani kamuengua?
   
 19. RR

  RR JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Marando nae alipitishwa na CCM kuwakilisha upinzani!
   
 20. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #20
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  hapa nanusa mchezo wa kuzungukana, cdm inaweza kukubaliana na kundi moja kuungana mkono.. cdm wakampa huyo mgombea wa ccsm kura lakini wabunge wa upande wa pili wakaazimia ndani vikao vyao vya chimwaga kukipa chama gani. Mwisho wa siku cdm kitabaki mdomo wazi, na ni ukweli mtupu mgombea wa csm hawezi kushinda bila kura za cdm
   
Loading...