Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jumatatu, Mei 07, 2012 05:00 Na Gabriel Mushi, Dar es Salaam Nape Nnauye * Yakana taarifa za wabunge wake kuhama * Nape amtahadharisha Freeman Mbowe KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani tazameni channel ten kipindi cha generali on monday kimerudi upya na waalikwa ni hao kama nilivowataja
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Bongo nchi ya wauza bwimbwi Taarifa kuwa mtuhumiwa wa kusafirisha madawa ya kulevya ambaye ni mdogo wa mbunge wa zamani wa Igunga Rostam Aziz aitwaye Abdulrasul kutokutwa na hatia ni pigo kwa...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Tanzania Power Outages Slow Fourth-Quarter Growth To 6.5% -Govt - WSJ.com hii ndio sababu tutakayopewa bungeni mwaka huu. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Na Joster Mwangulumbi - Imechapwa 02 May 2012 MWANA HALISI KILA yanapojitokeza matatizo mazito katika suala la muungano, watawala hufikiria njia ya mkato ili kuziba midomo ya watu wanaohoji...
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Nifuraha ya kipekee kuona Mkoa Mpya wa NJOMBE ni unapaa katika medali za kisiasa na kiuchumi baada yakuwa na WABUNGE MAKINI kutoka CCM wenye taaluma na uzoefu uliotukuka katika kuhamasisha...
0 Reactions
111 Replies
12K Views
kwa hakika tasnia ya habari tanzania kwa sasa inaonekana kama mkombozi wakati mambo muhimu yanayikabili nchi kiutawala, lakini doa kubwa kwa upande wa siasa ndio uongo unadhihiri, kwa hili la mery...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Jioni hii nimefungua ITV na kuangalia kipindi cha matukio kama sikosei, Slaa alikuwa anamsifia sana Sabodo kwa ujasiri wake wa kutoa misaada kwa CDM bila kuhofia CCM wala TRA kwa kuwa anafanya...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Wajumbe wa ccm mwenge mkoani Dar-es-salaam watishia kujiuzulu nafasi zao kisa mizengwe na rushwa kwenye uchaguzi. Source:ITV habari za saa.
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Mh Cecilia Paresso[mb] Karatu,jana amepata rasmi baraka za wananchi wa Karatu,huku akianza kazi kwa kishindo mara baada ya kusindikizwa na msafara wa magari zaidi ya 60 na piki piki 100,Makubwa...
3 Reactions
43 Replies
7K Views
Wana JF, Ikumbukwe kwamba mimi ni mwanaharakati wa kujitegemea kutoka katika ambaye kwetu CCM ni chama cha upinzani kama ilivyo CUF Unguja na CCM Pemba. Niko huku Ruvuma kueneza falsafa na...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Viongozi wakimila walianza kwa kumsimika Rasmi Ole Milya kuwa mkombozi maeneo ya Umasaini na baada ya Kiapo alikabidhiwa Kirungu na kutakiwa asiwe Kinyonga kwani akikiuka makubwa yatampata. Baada...
5 Reactions
78 Replies
8K Views
Na Steven Augustino, Tunduru WAKULIMA wa Mpunga Wilayani Tunduru wametakiwa kuukataa kuuza mpunga wao kupitia mfumo wa Stakabadha gharani na kugoma kulipa ushuru kulingana na maelekezo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwakweli tangu siku baraza jipya la mawaziri linatangazwa, wanakahama walianza kuonja joto ya jiwe. Umeme toka siku hiyo ulikatika mchana wote hapa kahama na kurudishwa jioni. Siku iliyofuata...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
CAG: Mawaziri wapya wakicheza watang'oka ASEMA ATAWAKAGUA NA KUTOA RIPOTI KATIKA VIPINDI VITATU, VIGOGO WENGINE 'WAPUMULIA MASHINE' Boniface Meena MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana jamaii, Naomba mnisaidie hili jambo linalonitatiza kwa muda mrefu lakini nakosa jibu. Hivi kwa nini huyu Ekelege hafanywi lolote mpaka hadi waziri anafukuzwa kazi lakini mie...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia amesema ameteuliwa kuwa mbunge na Rais kwa sababu chama chake hakiamini katika vurugu na kumwaga damu kama baadhi ya vyama vinavyofanya. Mbatia amesema hiyo ndiyo...
0 Reactions
91 Replies
8K Views
Wakuu: waziri wa fedha mh. Mkullo, ameendelea kutetea ufisadi wa PPF Kwa wafanyakazi (Management) na bodi ya PPF kulipwa hizo pesa (zaidi ya million 100 kwa kila moja) kasisitiza kuwa hata yeye...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Na Mwandishi Wetu UCHAGUZI wa viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Tawi la Vigaeni, Kata ya Ndugumbi Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, unafukuta kutokana na kudaiwa kuwa na mchezo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimesoma quote za CAG Utouh kwamba kwa sasa yuko kwenye kuandalia ripoti mahsusi ambayo ataiwakilisha kwa Takukuru ili waitumie kusaidia kuwachukulia hatua za kisheria wale viongozi waliotajwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom