Hello Wanasiasa wenzangu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hello Wanasiasa wenzangu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee wa ngano, May 7, 2012.

 1. Mzee wa ngano

  Mzee wa ngano Senior Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani kwanza nawasalimuni sana, nimeingia kwenye jamii hii kujumuika nanyi ktk jukwaa hili ili tulisongeshe. Nikaribisheni tuwe pamoja kwenye siasa za nchi hii. Nilitaka nijiite Nundu nikaghaili, nikataka nijiite Ngereja nikaona noma, Bas nikasema ngoja nijiite mzee wa ngano yaani Sokomoko I hope hiyo itakuwa imetulia
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  umeshakunywa ngano ngapi mpaka saa hii .... karibu sana ... "wachum' moderators kwanza
   
 3. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,477
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  karibu saaaana lakini ucje ukawa na maneno mbuvu mbovu kama NEPI
   
Loading...