Ccm ni sawa na panya anae uma na kupuliza. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm ni sawa na panya anae uma na kupuliza.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tukundane, May 7, 2012.

 1. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,312
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Mwaka 2008 baraza la mawaziri lilivunjwa kwa tuhuma za ufisadi ili kuonyesha kuwa ccm inawajali watz pamoja na kwamba ndio iliohusika na ufisadi huo ilianzisha sela ya kujivuwa magamba ambayo imekwama baada ya mh lowasa kukataa kuvuliwa magamba mpaka avuliwe magamba kwanza jk kwani hakuna alicho kifanya bila kuidhinishwa na jk.baraza limevunjwa tena kwa tuhuma kama za awali hata wabunge wa ccm wamekili kuwa serekali yao ni mafisadi ndio maana wakamshauri jk aivunje.je mwaka 2015 watakuja tena kuomba kura ili tuwape na tukisha wapa wachukuwe chao mapema na kisha wajivuwe magamba ili waonekane wasafi kwa wananchi?.je na sisi wananchi tuendelee kuwapa kura zetu ili na wao waendelee kuvunja mabaraza baada ya kuchukuwa chao mapema?.
   
Loading...