Wabunge CCM, rais hana imani na ninyi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge CCM, rais hana imani na ninyi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DOMA, May 7, 2012.

 1. D

  DOMA JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Wabunge wengi wa Ccm wamechukizwa na kitendo cha rais kuteua wabunge na kuwapa uwaziri licha ya kwamba Ccm ina wabunge zaidi ya 250 lakini rais ameona kati ya hao wote hakuna mwenye sifa ikambidi ateuwe wabunge na kuwapa uwaziri.Hili limeongeza chuki kwa wabunge wa Ccm na wengine kuonyesha nia ya kutaka kuhamia Chadema. Lakini jiulizeni maswali haya
  1.hivi kikwete ana imani na nyie?
  2.nani aliyekuambia kikwete ni mwana ccm
  karibuni sana Chadema kama uchaguzi mdogo kushinda ni lazima kuliko kuwa mbunge unayezomewa na wananchi unaodai unawaongoza na Rais wako hana imani na ninyi
   
 2. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa hata wale waliopewa uwaziri waliokuwa wabunge ni wale tu walioongoza sana kwa kumsifia rais bungeni na kumtetea,mfano Simbachaweni,Masele,Mgimwa,fuatilia hansad za bunge utaelewa nini nasema
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Aagh naona hta uwaziri afu bungeni hawajaapishwa.jk kachoka mpaka akili
   
 4. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  JK au Kamati Kuu ya CCM? Pia wale wanaojua walipo waganga wa porini nao wamezawadiwa.Nashangazwa kuona wale walioitwa wapambanaji katika vita dhidi ya mafisadi wakiziiiiiidi kukaukiwa kauli:

  Kilango, Zambi,Christofa Ole Sendeka,na wengineo wameachiwa Mungu aliyewaumba ahangaike nao. Challenger Prof. Mark Mwandosya Waziri asiyekuwa na Wizara Maalumu,na wote hao kwa uzoba wa kiwango cha juu wako kimya wametulia kama wako saluni ama msikitini ama kanisani
   
 5. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  naomba niwaulize swali ni kwa nini ibara ya 68 YA KATIBA ina mtaja mbunge hata kabla ya kula kiapo na haisemi mbunge mteule? ili akisha apishwa ndio aitwe mbunge kama mnavyotaka tuamini?

  68. Kila Mbunge atatakiwa kuapishwa katika Bunge kiapo cha uaminifu kabla hajaanza kushiriki katika shughuli za Bunge; lakini Mbunge aweza kushiriki katika uchaguzi wa Spika hata kabla hajaapishwa.
   
 6. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina imani wamemwelewa mwenyekiti wao kuwa hana hata chembe ya imani na wabunge wa CCM'' wote waliobaki kawaita 'GAMBA' au makanjanja kama kawaida yake.
   
Loading...