Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

nasikitika chadema ni chama kinachopendwa na wengi lakini baadhi ya maamuzi yanayofanyika yanakidhoofisha chama chenyewe. Fuatilia geita mjini busanda arusha vipi shibuda?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumekua na vitendo vya uuzaji holela wa ardhi ya TANZANIA kwa wanaojiita WAWEKEZAJI wa KIGENI unaofanywa na viongozi wa chama (CCM) na serikali mfano simanjiro, Iringa raia wa ugiriki wamepola...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dec 9,1961 Tanganyika iliutangazia ulimwengu kuwa ipo huru baada ya kuondoa utawala wa waingereza,na mnamo mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar wakaungana kuunda TANZANIA.Haya yote yaliashiria kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uzuri na ubovu wa katiba upo sana kwenye ibara zenye 8 zote. Then ibara ya 41 kifungu 7 Ibara ya 46 kifungu cha 1&2 Ibara ya 45 kifungu cha 1 chote. Tujadili hivi na marekebisho yake
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tangu 2006 kuna mengi yametokea kuhusiana na utendaji na uongozi wa Rais Kikwete. Kuna imani ambayo imejengeka kuwa Rais "anashauriwa vibaya" na hivyo huwa anasema au anafanya vitu kwa sababu...
11 Reactions
47 Replies
4K Views
Mh Zitto Kabwe mbunge wa Kigoma Kaskazini anasema "Nimekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa zamani wa Marekani Nancy Pelosi na Mbunge Dennis Kucinich" nawasilisha.
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Mimi kama mwanachama wa m4c naomba chadema waende pale Monduli waivuruge mpango el kupata ubunge jimbo lile namwomba Lema na Dr slaa.Tunataka Arusha nzima tuwaandoe hao magamba wametunyanyasa...
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Wanajmvi Habari kutoka Iringa zinasema kuwa Mbunge wa Mufindi Kusini(CCM) Mh Menrad Lutengano Kigola amepata Ajali mbaya ya Gari jioni ya leo akitokea Jimboni Kuelekea Dar katika vikao vya Kamati...
0 Reactions
70 Replies
9K Views
Nimefikiria kuwa kama kuna jambo linaweza kulazimisha mabafiliko na uwajibikaji bungeni ni kuwazuia wabunge kutoa misaada ya aina yoyote majimboni kwao. Yaani wasitoe misaada ya ujenzi wa visima...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mh.mbunge wetu tunakuomba uje jimboni kusaidia kutatua kero hii nyingi zinazotukabili sisi walimu.Kwanza mwaka jana tulipewa barua za kupanda madaraja kutoka ofisi ya TSD wilaya lakini mkurugenzi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hatimaye uhuru wa Tanzania utapatikana rasmi mwaka 2015, uhuru kutoka utawala wa CCM uliochoka na kushindwa kuleta matumaini kwa Watanzania, hii ni lazima, ishara zote zimeshatimia (Imethibitika...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Tatizo watanzania tumekuwa tukiona mabaya tu ya ccm ila mazuri yake hatuyaoni, tusitupie lawama tu kwa serikali sometime inabidi na sisi tujitume. Hakuna nchi yoyote duniani inayoendelea bila...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Napenda kutumia fursa hii kuwafahamisha wadau wa JF kwamba jumamosi hii ya tarehe 19/05/2012 kutakuwa na mkutano wa hadhara eneo la Ukonga mtaa wa Mazizini katika muendelezo wa operation Vua Gamba...
7 Reactions
95 Replies
8K Views
Lula wa Ndali Mwananzela Toleo la 239 (RAIA MWEMA) 16 May 2012 KUNA msemo kwenye kitabu cha Mhubiri kuwa ‘hakuna kipya chini ya jua', kwamba lile ambalo...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Kila kukicha watanzania wanalia, wanalalamika hali ya maisha inavyozidi kuwa ngumu: chakula, umeme, usafiri, mikopo ya wanafunzi, maabara mashuleni, madawati, afya n.k. lakini watawala wa Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana RC wa Arusha (Magesa) aliwashukuru majaji kwa kazi waliyoifanya, imesaidia kurudisha amani Arusha na alisema wale wasioridhika waende kwenye ngazi inayofata na siyo kulalamika na...
2 Reactions
73 Replies
6K Views
ATCL's Dash 8-300 aircraft that skidded off the runway at Kigoma airport. Picture: File By MIKE MANDE Posted Saturday, May 19 2012 at 13:13 China Sonangol International Holdings Ltd, the...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kweli nimekubali Mheshimiwa Leticia Nyerere ni Kiboko ,ni mwiba kwa ccm.Kwani mpaka sasa wanamwandika kwenye magazeti huko bongo bila hata kujua ukweli .Narudia tena.Tatizo la ccm ni kwamba hakuna...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimempuuza Mbunge wa Maswa Magharibi (Chadema), John Shibuda, kufuatia kauli yake ya kudai kuwa atagombea urais kupitia Chadema katika uchaguzi mkuu wa 2015 na kwamba...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ni masikitiko kwa jinsi CCM ilivyowapindua wananchi wake na taifa lao kwa kuwafanya: 1: kuwa taifa lenye njaa miaka nenda rudi 2: Kuwa taifa tegemezi na ombamba badala ya kujitegemea 3: Kuwa taifa...
0 Reactions
1 Replies
942 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…