Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari za kazi wakuu, Miaka ya karibuni kumekuwa na wimbi la kuomba kiasi ambacho kinaleta kichefuchefu. Kuanzia mkuu wa nchi kutamka hadharani wakati wa kampeni yake kuwa 'nisingesafiri sana nje...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanapata tabu kuelewa kuwa ktk kamati kuu yenye watu wanaojiita makini kama Nape na Jakaya ambapo pale strategy nyingi za kuwashughulikia opposition hupangwa..BW.SHIBUDA KATOKA WAPI HUMO NA KAPEWA...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Na Richard Makore 22nd May 2012 Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kinafanya uchunguzi ili kubaini wanachama wao wanaoshiriki...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naombeni tuchangie bila ushabiki.
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Source BBC na Ahmed Rajab Tanzania kumbe ni miongoni mwa nchi ambazo ni vipenzi wa marekani kwa kuwa ametoa ardhi kubwa kwa marekani na kuitwa kwake kwake ni kumpaka mafuta kwa mgongo wa chuoa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Jana nikuwa kwenya daladala kukawa na majadala baina ya abiria. Wenga wa wawachangiaji walikuwa wanasema ukitaka nchi hii itoke hapa ilipo na ipige maendeleo ya haraka ni lazima CCM ife na iondoke...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo nimesikia kutoka kwenye kongamano la waislamu pale viwanja vya carimjee wakilalamika wanataka usawa na wamechoka kunyanyaswa. Wanataka katiba mpya inayosema uongozi wa nchi ni nusu kwa nusu...
0 Reactions
753 Replies
52K Views
Baada ya kufanyika mabadiliko katika baraza la Mawaziri tulipata kusikia baadhi ya mawaziri wakiachishwa kutokana na kutokuwa na utendaji mzuri au kwa kuonewa kama "walivyojitetea" na Mh. Abdalla...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
The landgrabbing statistics worldwide and Africa in particular is not onlyoverwhelming but is also extraordinary shocking. According to International Food Policy Research Institute (IFPRI)...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Nimesikia kutoka kwa rafiki kuwa January Makamba kiongozi Mzalendo aliyeko CCM na Vuvuzela la CCM Nape Nnauye watakuwa kwenye kipindi cha generali on Monday leo tarehe 21/05/2012 saa 2.30 Usiku...
0 Reactions
66 Replies
6K Views
WAZIRI Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika, kwa mara nyingine tena, ameibua suala zima la mikataba tata baina ya serikali na makampuni ya umeme nchini, akimtaka pia Waziri mpya wa Nishati na...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Na nukuu. Ndugu zangu watanzania haswa vijana ambao bado tungali na nguvu ya kupigania Haki na utu uliopotea katika Taifa hili. Kwa faida yetu kizazi chetu na wajukuu zetu, na tufanye hivyo sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbunge Joshua Nasari na Kangi Lugora wakitoa shukurani zake kanisani. Gladness Mushi wa Full shwangwe -Arusha Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Bw Joshua Nassari leo amefanikiwa kutoa...
1 Reactions
50 Replies
6K Views
na Mwandishi wetu, WAZIRI Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika, kwa mara nyingine tena, ameibua suala zima la mikataba tata baina ya serikali na makampuni ya umeme nchini, akimtaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi, wanaJF mkumbuke katika serikali ya awamu ya tatu Mhe. Dr Abdallah Kigoda alikuwa waziri wa mipango na uchumi na mambo yalikwenda vizuri shilingi yetu ilikuwa na thamani mfumko wa bei haukuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa muda sasa nimejaribu kujikumbusha hata mtendaji mmoja ambaye rais yeye mwenyewe moja kwa moja amemuwajibisha kwa kipindi chake cha urais nikilinganisha na teuzi alizokwishafanya, sijapata...
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Nauliza hivi; Jee, wanazi wa chadema mtamkubali Zitto kugombea Urais?
0 Reactions
110 Replies
8K Views
WAFANYAKAZI wa Shirika la Ugavi wa Umeme nchini (TANESCO) wameibua hujuma zinazofanywa na baadhi ya wafanyakazi wa shirika hilo wasio waaminifu na kukabidhi majina hayo kwa Waziri wa Nishati na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Huu ni uteuzi uliotangazwa muda mfupi uliopita TAARIFAKWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateuaMajaji wawili wa Mahakama Kuu ya...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Marais toka awamu ya kwanza hadi ya Tatu hatuwaona watoto wao kwenye hizo sherehe za Mawaziri kuapishwa Ni Miaka Miwili na Nusu imebaki wataichukua ikulu hapo 2015? Ridhiwan Kikwete akizungumza...
0 Reactions
213 Replies
28K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…