Wanachama wa ccm wahoji..shibuda katoka wapi ktk mkutano wa kamati kuu ilhali ni mpinzani?

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Wanapata tabu kuelewa kuwa ktk kamati kuu yenye watu wanaojiita makini kama Nape na Jakaya ambapo pale strategy nyingi za kuwashughulikia opposition hupangwa..BW.SHIBUDA KATOKA WAPI HUMO NA KAPEWA KUHUTUBIA MLE KAMA NANI NA KATIBA AMA KANUNI IPI YA CCM INARUHUSU?

Wanataka msimamo wa NAPE huku wakikinanga chama chao kuwa kumtumia SHIBUDA kukisambaratisha chadema ni kupoteza dira kwani mbunge huyo ameshaisha kisiasa na huwa anaonekana hamnazo.
 
Makubwa Shibuda naye niwakuongelewa amedebeda kama mrenda kisiasa hana nguvu hata kwao huko shinyanga nawenyewe wamemkana
 
Hiyo ndio CCM kiukweli wengi wanapata tabu kuelewa hiyo ilikuwa na maana gani na ni kwa vipi.hakika ni ***** tu
 
Ila magamba nichama mseto,kuna kipindi walikuwa na mkutano wakmwalika Mrema nae akatema pumbazake wakaanza kumtunza kwa manoti,pengine shibuda kafilisika alifata kamzigo! Mwe...!
 
Wanapata tabu kuelewa kuwa ktk kamati kuu yenye watu wanaojiita makini kama Nape na Jakaya ambapo pale strategy nyingi za kuwashughulikia opposition hupangwa..BW.SHIBUDA KATOKA WAPI HUMO NA KAPEWA KUHUTUBIA MLE KAMA NANI NA KATIBA AMA KANUNI IPI YA CCM INARUHUSU?

Wanataka msimamo wa NAPE huku wakikinanga chama chao kuwa kumtumia SHIBUDA kukisambaratisha chadema ni kupoteza dira kwani mbunge huyo ameshaisha kisiasa na huwa anaonekana hamnazo.

EBU ONENI AIBU JAMANI KHAA! umeandika kana kwamba unataka kuujua ukweli kumbe unaonyesha jinsi gani ulivyo kilaza kufuatilia habari

ni

hivi

''Shibuda ni mjumbe wa body ya APRM akiwakilisha upinzani. barua za APRM kukutana na vyama vyote zipo. CCM wamatumia kila aina ya njia kuisambratisha CDM kila upenyo kwao ni Gold. Picha zilizotoka kwenye magazeti zilichukuliwa Library sio picha za tukio la siku hiyo. Alichokisema Shibuda mle ni mambo ya APRM.

Nimesikia pia hata APRM kuwepo ni kwa sababu ya Shibuda, serikali kwa ukata ilikataa kutoa pesa mpaka Shibuda alipomwona rais ndipo bilioni moja ikatoka.

Ni muhimu sana kufanya utafiti kuliko kuingia kichwa kichwa kwa CCM hata kama Shibuda ni Mbaya lakini mambo mengine ni lazima tuwe makini'''-Shalom JF 21/05/2012 at 9:00
 
Labda niwajuze kwamba siku hiyo Shibuda aliporopoka, wajumbe wa nec ya ccm waliamua kuandaa semina iliyoendeshwa na jamaa wa APRM, na nadhani Shibuda ni mmoja wa wajumbe wa hiyo APRM, na aliingia kwa mkumbo huo na kupata wasaa wa kuongea,huku akisahau GAVANA ya mdomo.
Hakuibukia huko kimiujiza.
 
WABEROYA! Una maana APRM ni mpango wa serikali au wa CCM? Je mawasilisho ya APRM ilikuwa mojawapo ya agenda ya CC au vipi? Unaposema APRM ni SHBD mwakilishi pekee au ni pamoja na wananchi wakawaida pamoja na vijana ambayo hawana chama chochote?
Ni muhimu sana kufanya utafiti kuliko kuingia kichwa kichwa kwa CCM hata kama Shibuda ni Mbaya lakini mambo mengine ni lazima tuwe makini'''-Shalom JF 21/05/2012 at 9:00
 
EBU ONENI AIBU JAMANI KHAA! umeandika kana kwamba unataka kuujua ukweli kumbe unaonyesha jinsi gani ulivyo kilaza kufuatilia habari

ni

hivi

''Shibuda ni mjumbe wa body ya APRM akiwakilisha upinzani. barua za APRM kukutana na vyama vyote zipo. CCM wamatumia kila aina ya njia kuisambratisha CDM kila upenyo kwao ni Gold. Picha zilizotoka kwenye magazeti zilichukuliwa Library sio picha za tukio la siku hiyo. Alichokisema Shibuda mle ni mambo ya APRM.

Nimesikia pia hata APRM kuwepo ni kwa sababu ya Shibuda, serikali kwa ukata ilikataa kutoa pesa mpaka Shibuda alipomwona rais ndipo bilioni moja ikatoka.

Ni muhimu sana kufanya utafiti kuliko kuingia kichwa kichwa kwa CCM hata kama Shibuda ni Mbaya lakini mambo mengine ni lazima tuwe makini'''-Shalom JF 21/05/2012 at 9:00

ww huna AKILI.
 
Mkuu hebu nitoe tongotongo kidogo na kuongelea mambo ya kugombea urais ni APRM?
 
Mtoa mada ni hasira au? Ni uelewa mdogo ni Wanachama wa CCM
Tawi gani au unadhani uongozi wa CDM hawajui km Shibuda alihudhuria kwa mwaliko?
Acha uchochezi umeshaambiwa ni Demokrasia alitumia
 
Back
Top Bottom