Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa taarifa tulizonazo na wanachi wengi wanavyofahamu, tayari hili gari V8 limekwisharudishwa na Mh. Freeman Mbowe. Lakini cha kushangaza bado huyu mkuu analitumia. Nashindwa kuwaelewa hawa CDM...
1 Reactions
99 Replies
9K Views
MWANASIASA maarufu na Mbunge mstaafu wa Kwela (CCM), Dk Chrisant Mzindakaya, ameiponda Kamati ya Bunge ya Maliasili, Ardhi na Mazingira, kuwa inaingilia kazi za Serikali katika ugawaji vitalu vya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Na Aidan Mhando | Mwananchi 23 May 2012 MSUGUANO wa vijana wa Chadema (Bavicha) na Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki , John Shibuda, umezidi kuongeza joto la kisiasa ndani ya chama hicho...
1 Reactions
76 Replies
6K Views
Source mtanzania *Ni ya kushindwa uchaguzi Arumeru Mashariki *Yabaini siri ya Sioi kubwagwa, NEC yakerwa *Yadai alikuwa akitamka majina ya vijiji isivyo RIPOTI ya siri ya Chama Cha Mapinduzi...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Waziri wa nchi ofisi ya Rais Mahusiano Stephen Wassira amezomewa vibaya na mamia ya wananchi akiwa katika mkutano wa hadhara jimboni kwake Bunda. Wassira alikumbwa na balaa hilo alipoanza...
8 Reactions
88 Replies
11K Views
[Mnamo tarehe 23/05/2012 katika kijiji cha Rutamba mama mjamzito alifariki kwa gari ya kituo uishiwa mafuta njiani ili hali wizara ya afya inatengewa fedha za kutosha na wadau wengi tu wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Operesheni ya Vua Gamba vaa Gwanda iliendelea jana kata ya Msange na baadae kijiji cha Ngamu kata ya Mwasauya katika jimbo la Singida Kaskazini. ambapo katika kijiji cha msange Mkiti wa wazazi...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Toa maoni yako: Kama kweli CCM inadai inamshikamano je watu hao wanaweza kukakaa kwenye kamati moja?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mnamo tarehe 23/05/2012 katika kijiji cha Rutamba mama mjamzito alifariki kwa gari ya kituo uishiwa mafuta njiani ili hali wizara ya afya inatengewa fedha za kutosha na wadau wengi tu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ANAONGEA KUHUSU KUMFUKUZIA MBALI SHIBUDA hayawi hayawi sasa MNYANTUZU ANAPIGWA TEKE KULEEEEEEEEEEEEEEEEEEE ATAHAMIA CCM B AU ATARUDI KWA WAUME ZAKE CCM A???
2 Reactions
155 Replies
11K Views
Mh. Rais kikwete katika kampeni zake za mwaka 2005 alikuja na slogan au falsafa ya "MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA" Ikibebwa Ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya!!!, kwa lugha hii alioitumia...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Mr. Ibrahim Kaduma paper stresses the need to have leaders who are; (i) Mentally fully liberated (ii) Selfless (iii) True servants and not masters of the people (iv) Ready to serve...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Le Mutuz...mbona haya mambo hayaendani saaaaana na Politics career ur trying to purse bana? me get scared na movememnt zako bro....i hv to be honest with you broda......remember ur a Tanzanian...
8 Reactions
168 Replies
16K Views
Wednesday, 23 May 2012 20:48 Mwandishi Wetu UPINZANI hasa kutoka kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) unaaminika kuwa moja ya vikwazo vya kutofanikiwa kwa asilimia 100 kwa chaguzi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Inawezekana ikawa swali hili lilishaulizwa ama halikupata jibu zuri. Ama halijauliza kabisa. Ni vizuri watu kuwa wadadisi ili kupata more information za kitu. Mathalani hebu tujiuliza hivi ccj ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania tangu uhuru tumekuwa tukiongozwa na Ccm na matokeo yake tumeyaona kuna mabaya na mazuri, kln kwa sasa ccm imetuweka ktk maisha ambayo kila siku tunasema bora ya jana, kwa kifupi ccm haina...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
TUNAKUKARIBISHA SISI WAPENZI NA WAFUASI WA M4C SIO VIONGOZI TUKALE BATA POPOTE UPENDAPO JIMBONI UBUNGO KWENYE JIMBO ULILOTAKA KUGOMBEA KUPITIA CCJ,MKARIBISHE MUKAMA PIA.PEOPLE'S POWER FOREVER:israel:
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wandugu, tunaomba mwenye hukumu ya mnyika atuwekee ukumbini
0 Reactions
2 Replies
890 Views
Baada ya takriban miaka 6 na matusi na kelele za kila namna za GAME THEORY na zingine akazihamishia kule twitter, Facebook, na kwa jamaa wa Open Government Partnership hatimaye SALVA RWEYEMAMU...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
JUMANNE, MEI 22, 2012 05:42 NA ABDALLAH AMIRI, NZEGA KATIBU wa Fedha na Uchumi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Nchemba, amesema CCM ni chama kikubwa hakiwezi kutetereka na kutegemea walimu...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…