Operesheni Vua gamba vaa gwanda yazidi kuishika pambaya CCM

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Operesheni ya Vua Gamba vaa Gwanda iliendelea jana kata ya Msange na baadae kijiji cha Ngamu kata ya Mwasauya katika jimbo la Singida Kaskazini. ambapo katika kijiji cha msange Mkiti wa wazazi kata, mjumbe wa kamati utendaji jumuia ya wazazi wilaya na wanachama zaidi ya mia moja walivua magamba na kujiunga na chadema katika kijiji cha msange na ngamu katika jimbo hilo la Singida kazikazini.
Leo operesheni Vua gamba vaa gwanda inaendelea mwanga mjini na kesho itakuwa lushoto.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki chadema izidi kuchanja mbuga...
 
Kwa trend hii kufika mwaka 2015, CDM itakuwa imevuna wanachama wengi sana, hongereni kwa juhudi hizo
 
Operesheni ya Vua Gamba vaa Gwanda iliendelea jana kata ya Msange na baadae kijiji cha Ngamu kata ya Mwasauya katika jimbo la Singida Kaskazini. ambapo katika kijiji cha msange Mkiti wa wazazi kata, mjumbe wa kamati utendaji jumuia ya wazazi wilaya na wanachama zaidi ya mia moja walivua magamba na kujiunga na chadema katika kijiji cha msange na ngamu katika jimbo hilo la Singida kazikazini.
Leo operesheni Vua gamba vaa gwanda inaendelea mwanga mjini na kesho itakuwa lushoto.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki chadema izidi kuchanja mbuga...

Asante kwa taarifa. Hivi Singida Kaskazini nayo iko kaskazini? Hauliza hivyo kwa sababu kuna baadhi ya great thinkers wamekuwa wakidai kila siku kuwa CHADEMA ni chama cha watu wa kaskazini peke yake.
 
CDM msifurahi sana kuwavua wanachama wa vyama vingine kwani wanapojiunga na CDM huwa na matarijio ya (expectations) ambayo yanaweza kuwa kunyuma na falsafa ya CDM na hivyo kuleta pengo la matarajio (Expectation gap) ambayo muda si mrefu. Huko vijiji bado maskini wengi vazi la kutokea ni Khanga za CCM huo si taratibu za CDM; mikutano ya CCM wakati mwingine usafiri huandaliwa ili kuwafikisha na kuwarudisha, huo si utaratibu wa CCM, vikao kuambatana na posho za kukaa, huo si utaratibu wa CCM.

Hao wanachama wapya hasa wale wa umri mkubwa watakapokosa walivyozoea kupata huko wanakotoka HAKIKA watarudi walikotoka.

CDM mngejikita kuvua wale ambao mpaka sasa hatuna itikadi ya chama chochote
 
Ngoja aje Ritz au Rejeo watakuwa na jibu sahihi...
 
Na kwa taarifa tu wilaya ya manyoni mkoa wa singida ambapo ccm walikuwa wanajipatia kura kibao sasa hali si shwari tene kwani katika uchaguzi mdogo wa wenyeviti wa vijiji chadema imeshinda katika vijiji 2 ambavyo vipo maporini hakuna mtu aliyetarajia hilo kutokea.
 
Kuna kuvuna walio wanachama maana hawa walishahamasika na hivyo ni rahisi kuwabadili msimamo wao.

Kundi lingine ni kuwahamasisha wale ambao hawapo popote na hili ndiyo group fresh sana kwa chama.
 
Na kwa taarifa tu wilaya ya manyoni mkoa wa singida ambapo ccm walikuwa wanajipatia kura kibao sasa hali si shwari tene kwani katika uchaguzi mdogo wa wenyeviti wa vijiji chadema imeshinda katika vijiji 2 ambavyo vipo maporini hakuna mtu aliyetarajia hilo kutokea.
hahahaha huu utakuwa mtaa mmoja wapo pale Arusha maana CCM hawataki kusikia kuwa Chadema imeingia huko pia.....
 
Back
Top Bottom