Kifo cha mama mjamzito lindi kwa gari ya wagonjwa kuishiwa mafuta serikali inachukua hatua gani kwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kifo cha mama mjamzito lindi kwa gari ya wagonjwa kuishiwa mafuta serikali inachukua hatua gani kwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchaichai, May 24, 2012.

 1. m

  mchaichai JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 650
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mnamo tarehe 23/05/2012 katika kijiji cha Rutamba mama mjamzito alifariki kwa gari ya kituo uishiwa mafuta njiani ili hali wizara ya afya inatengewa fedha za kutosha na wadau wengi tu wa maendeleo wanachangia mfuko wa afya ili kupunguza vifo vya akina mama wajawazito hasa maeneo ya vijijini kwa nchi nzima je hii ni haki? na Je katika hili wizara na serikali ya mkoa ichuke hatua gani za kitaaluma na kisiasa dhiki wa wahusika wakuu katika idara ya Afya?
   
Loading...