Sita.....lowasa.....mwakymbe.. ...nape.....membe.......!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sita.....lowasa.....mwakymbe.. ...nape.....membe.......!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mageuzi1992, May 24, 2012.

 1. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Toa maoni yako: Kama kweli CCM inadai inamshikamano je watu hao wanaweza kukakaa kwenye kamati moja?
   
 2. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani amekudanganya kuwa CCM kuna mshikamano? Unafiki tu ndio uko CCM!!
   
 3. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  umetumwa upime upepo.
   
 4. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,797
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  usisahau kwenye siasa hakuna maadui au marafiki wa kudumu kuna maslahi ya kudumu! hao waweza kukaa pamoja tu provided maslahi yao yanafanana!! Raila na Kibaki walikuwa mahasimu wakati wa uchaguzi wa kenya wakasababisha zaidi ya watu 1000 wakafa na wengine maelfu kupoteza makazi au kujeruhiwa vibaya lakini leo hii mmoja ni rais mwingine waziri mkuu wanaobngoza serikali moja!!
   
 5. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hawatosubutu!
   
 6. S

  Shekispia JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wanamtandao waliopoteana kwa harufu ya ikulu!
   
 7. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hawawezi
   
 8. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280

  Kwenye mazishi ya kanumba pale leaders walikaa pamoja
   
 9. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  alokutuma angalia asije kukuoa
   
 10. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Ndiyo wanaweza, kwani mpaka sasa wapo kwenye chama kimoja - CCM
   
Loading...