Malecela's politics & social interaction in fb, twitter: A strategy towards political career? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malecela's politics & social interaction in fb, twitter: A strategy towards political career?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KasomaJr, May 21, 2012.

 1. KasomaJr

  KasomaJr JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Le Mutuz...mbona haya mambo hayaendani saaaaana na Politics career ur trying to purse bana? me get scared na movememnt zako bro....i hv to be honest with you broda......remember ur a Tanzanian, culture na taboos zetu zote unazijua, u went to US at the age of 18, i believe kwenye age hiyo ni mtu mzima anaeweza kukumbuka kila kitu cha motherland....sidhani kama inawezekana culture na taboos zote zimemezwa na western culture to that extent.....please back down bro, for your own sake. For your information, kama hujui...Watanzania wengii ni wanafiki, wanaweza kuwa wana comments post zako lakini behind the scene wanasema tofauti...that is true na kukataa ni kujidanganya sana. Wewe ni rafiki yangu, brother and mentor pia lakini kwa hili naomba niwe tofauti sana na wengi....narudia tena.
  Achana na hizi movements zako kwa style hii kupost mapicha ya wadada wamekaa uchi uchi wengine wamekaa poa hasa kwenye facebook and blog yako, kujenga reputation kuna approach nyingi, kujenga umaarufu na kujulikana kuna njia nyingi sana na bora kuliko hizi za Facebook & blogs na posts za kusifia wadada, maeneo unayotembelea, vyakula unavyokula, clubbing etc.....if you real want your presence to be noticeable please find the best strategies and good approach. Tanzania pamoja na uzembe wetu, uvivu, na umasikini wetu lakini still we have good people wenye ushauri mzuri, hekima na busara nyingi tu kuweza kum groom mtu na kuwa vile anavyotaka na jamii ninavyotaka pia, so please use them bana.
  Ni ushauri tu.
  http://williammalecela.blogspot.com/2012/05/mrembo-toka-dc-washington.html

  JF Members.....naomba nieleweke wazi hapa, sina hakika kama title na ujumbe viko sawa, sina hakika kama nipo kwenye page sahihi, so if am wrong naomba kuelekezwa. Naomba heshima na utu wa kila mchangiaji uzingatiwe, lugha za matusi na kejeli hazitakiwi.
  Asanteni Sana.
   
 2. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Yaani anaacha kifua wazi ili cheni ionekane.

  Sa sijui unazo ngapi mkuu.
   
 3. KasomaJr

  KasomaJr JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Huyo i baharia kaka, may be ndo utamaduni wa kimagharibi......lakini umri na matendo haviendani kabisa.....imagine unakuwa na mwakilishi kwenye Bunge la East Africa........kazi kweli kweli aise.


   
 4. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Umesema jambo la maana sana, binafsi kabla sijamjua nidhani ni age ya hawa form six, nilishangaa baada ya kujua ni mtu mzioma ana mambo ya kitoto sana.
   
 5. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Upo sawa,nlishttka kuskia alikuwa shule ya msingi mwaka 79,kumbe m2 mzima.mwambie csi vijana hatushawishiwi ivyo.afu ana siasa mfu,hana uwezo hata wa kuwa mwenyekiti wa mtaa.anatamba na ilo jina lenye laana ya nyerere.NADHANI asingejiita MALECELA angekubalika.
   
 6. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mbona hakuna cha ajabu?
   
 7. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  It will not help, at this time what I see of him is dead politically

  Mfano Mzuri ni alipokuwa anagombea Ubunge wa East Africa, anafahamiana na wabunge zaidi ya 100 lakini alipata kura

  finyu 40; na hakuweza kujieleza vizuri, atajitangaza kwenye FB huko hakufai inampasa aende huko Vijijini apigwe na Jua

  Aone matatizo halisi ya Wananchi na kuwaomba kura na sio kudundika kwenda kwenye Ufunguzi wa kila kifaa cha fahari

  Jijini Dar au kudundika na Twanga Pepeta na kupiga Picha. Haita Saidia FB haitakupigia kura
   
 8. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Le mutuz
  le baharia
  Le mubunge
  le catapila
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  TULIOMUONA ZAMANI HIZO......BONGE LA KALIKITI

  [​IMG]
   
 10. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Macho ya mwanamume???

  [​IMG]
   
 11. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  William malecella kila siku huwa namwambia kuwa hana sifa za kuwa kiongozi kwani anachukulia siasa ni kama kipaji cah mziki au kama sehemu ya kujipatia umaarufu, alikimbia shule na hata cheti cha 4M4 hana pia ni mtu mzima makamu ya baba kabisa alafu anafanya mambo ya kitoto. Gosh.....
   
 12. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Kumbe ni mtu wa micheni tokea 'longi'! Lakini mimi nikiona mwanaume amevaa mikufu au mapete mengi sijui naomuanaje - Mungu anisamehe tu!
   
 13. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  William, hebu punguza kidogo 'Machozi ya Chui' pamoja na 'Kitimoto' kwani mkunungu nayo ni mlo mkuu; bado tunakuhitaji kwa kufikiriwa uongozi wa nchi hii huko baadaye.

  Mbali na chukizo wanaoiona kwako wanabodi wenzangu humu, naomba nikiri kwamba kidoooogo wewe, katika jopo la wana-CCM wa leo, UNAO UWEZO wa kuona jambo nje ya mipaka ya kijani yenye kuweza kutunufaisha sote kama taifa.

  Hilo naliheshimu sana kwa kweli ila shida kwako wewe hadi sasa ni kwamba haujaweza KULENGA nini hasa unachokitaka katika siasa za nchi yetu na wala hauna hata fununu ukatumie chombo gani kinachokubalika kwa wananchi kuweza kufika huko.

  Hata hivo, hongera kwa hiyo nafasi ya kibalozi inayokunyemelea hivi sasa hata kama ni 'Vyeo vya Mezani'.


   
 14. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,814
  Likes Received: 36,902
  Trophy Points: 280
  Ulimbukeni ni tatizo kubwa kwa kweli.
   
 15. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,679
  Likes Received: 21,931
  Trophy Points: 280
  Mumripoti kwa tingatinga labda anaweza kumpa somo akabadilika
   
 16. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Hawa wanawake anaopiga nao mapicha ndio wataomualibia lakini hajui tu, yeye kila mwanamke anasema my best friend.
   
 17. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hata Leticia Nyerere alidai ni 'best friend' wake, huku hata namba ya simu hana, ni mtu wa kupenda misifa sana...
   
 18. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Huyu William bado hajakuwa, ana mambo ya 'under 18'. Pia, ni mtu wa kukurupuka kwa kila jambo, afu anajiona ana 'mvuto' wa siasa. Inampasa atambue kuwa, huyu mtu anayemwambia anaweza kuwa mwanasiasa, atambue kuwa anamdanganya. Huyu jamaa ana vijitabia vya kishamba sana, inampasa kubadilika. Kuhusu siasa, bora angepiga chini aendelee na biashara zake, otherwize asubili imeze kwake...
   
 19. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #19
  May 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mbona anarembua sana, mtoto si rizk nini?
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mwacheni mtoto wa watu, akikuwa ataacha!
   
Loading...