Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rejao, May 24, 2012.

 1. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  1.jpg
  Kwa taarifa tulizonazo na wanachi wengi wanavyofahamu, tayari hili gari V8 limekwisharudishwa na Mh. Freeman Mbowe. Lakini cha kushangaza bado huyu mkuu analitumia.

  Nashindwa kuwaelewa hawa CDM, kelele zote wanazopiga ni kutuhadaa tu wananchi? Kama kwa hili dogo huyu Mh. kashindwa kulitekeleza, je hayo anayoyahubiri kila siku majukwaani ataweza kuyatekeleza?

  Hii inanifanya nikose imani na wapinzani, yapo mengi tu wanayoyazungumza mbayo ukijaribu kuyaangalia utekelezaji wake ni kitu kisichowezekana. Cha muhimu hawa viongozi wetu wasiwe ni watu wa kutudanganya ili kujipatia umaarufu. Kama ukiamua kufanya kitu, fanya kweli!!
   
 2. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nenda kamnyang'anye
   
 3. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Tusijibu kishabiki tu kwa sababu tuna mapenzi na Chama husika. Jaribu kupima alichokizungumza na anachokitekeleza sasa. Ni vitu ambavyo haviwiani. Ni bora angekaa kimya aendelee tu kujifaidia V8 lake.
   
 4. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  wewe kimeo hizi ndizo sheria mbaya za matumizi serikali ya ccm na wake zao cuf walijitungia ili kulihujumu taifa.Mbowe alipolikataa hili gari aliambiwa kuwa anavunja sheria.
  kwa hiyo ndiyo maana tunakuambia chadema ni chama makini ndiyo maana wakaweka katiba mpya kwenye ilani yao sii hilo tu kuna wabunge viti maalum,chaguzi ndogo ,mikopo kwa wabunge,posho,kiti cha spika,ccm kufanyia vikao vyake ikulu nk.
   
 5. mbalu

  mbalu JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Rejao hiyo ndio siasa ndugu yasikustajabishe madogo haya kuna makubwa zaidi ya hii ya gari ndani ya siasa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Na Zitto alivyokataa posho na mpaka sasa hapokei, kwanini hakuambiwa kuwa anavunja sheria?
  Hapo bado naquestion umakini wa CDM mnaouzungumzia kila siku
   
 7. Sir oby

  Sir oby JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 325
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  nan kakwambia zito hapokei posho, hebu fuatilia vizur utapata jibu.
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hiyo picha ni ya lini sio unaongea na kuandika vitu kama unakimbizwa..maswali haya ulizana na watoto wenzio kule fb
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mkuu wangu Rejao mpenda amani, wanachosema Chadema kwenye majukwaa sio wanachokitekeleza.

  Suala la gari ya kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni pamoja na posho ilikuwa ni mpango wa kuwavuta watu.

  Chadema nzima ni mbunge moja tu ambaye kweli kakataa kuchukuwa posho ni Zitto Kabwe tu. Tindu Lissu, yeye anasema hataki posho lakini wanamuwekea kwenye account yake.

  Chadema simamieni mnachokisema sio kuwadanganya wananchi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,422
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Rejao na avatar yake ya kishetani, huwa na namuona kama shetabi tu. Hapa kachukua picha ya zamani anaanza kubwabwaja! Sorry, I hate you!
   
 11. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,422
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Ritz na Rejao avatar zenu ni true reflection ya mlivyo?
   
 12. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hiyo picha ni ya juzi Freeman Mbowe akiwa Clouds media.
  Na mpaka leo hii huyu mheshimiwa anajifaidia hili gari..
   
 13. Kumbakumba

  Kumbakumba JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku nyingine fahamu nchi inaendeshwa kwa protokali,haiendeshwi kama familia yako unavyotaka kuiendesha..alichokuwa anataka kupinga ni protokali ambazo hazina mashiko kwa watanzania kwa sasa..ila jiulize,hata akilikataa ilihali limeshanunuliwa kuna mantiki hapo?bora litumike,next time pengine serekali itakuwa imejifunza jambo
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Kigogo,
  Naona akili yako imekataa kabisa kukubali kama Mbowe hajarudisha gari ya kiongozi wa kambi ya upinzani bungneni.
   
 15. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mkuu ritz, Hicho ndicho kinachosababisha watu wengi wanaojua kuchambua mambo wakose imani na wapinzani.
  Kama waliamua kukakataa kitu, wangebaki na msimamo wao huo huo.
  BTW, CHADEMA ni kama gari bovu lisilo na uelekeo maalumu. hawana common goal, kila mtu anajiamulia anvyojua. Leo kiongozi wa BAVICHA atasema hivi, kesho makamu wake atasema hivi, Slaa naye atakuja na lake, Mbowe naye...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Gari hilo halitumii na ana lake analotumia . Haya unayoengea toa latest evidence maana mie niemmuona kama siku 10 zimepita na gari lake tofauti na hilo
   
 17. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #17
  May 24, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Naomba kujua tarehe siku mwaka uliopiga hiyo picha kwani picha hata ya mwaka 2000 unaweza kuitumia kishabiki
   
 18. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #18
  May 24, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Ni haki yake kuwa nayo. Ni vyema ukaangalia hoja hiyo kwa upana zaidi lengo lake lilikuwa kuamsha/kuhimiza serikali kuacha kununua magari ya kifahari tena, jambo ambalo tayari limeanza kutekelezwa. Nadhani utakuwa umemsikia Mh. Lukuvi akitangaza sasa kuwa magari ya kifaharimwisho na kuwa gari za viongozi zitakuwa Rav4. Hicho ndicho alichomaanisha Mbowe. Suala la kusema hatalitumia gari hilo wakati tayari limenunuliwa haina maana hapo.
   
 19. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #19
  May 24, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Wakati tukipima hilo tupime na kauli ya Pinda kupiga marufuku ununuzi wa mashangingi wakati bado yanaendelea kununuliwa!!!
   
 20. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #20
  May 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Tatizo nadhani liko kwenye mfumo, sheria inabidi zibadilishwe kwanza, mtu mmoja kususia gari/posho ilhali mfumo unaendelea kuzikumbatia ndo tatizo lenyewe
   
Loading...