Nape karibu tule bata

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152
TUNAKUKARIBISHA SISI WAPENZI NA WAFUASI WA M4C SIO VIONGOZI TUKALE BATA POPOTE UPENDAPO JIMBONI UBUNGO KWENYE JIMBO ULILOTAKA KUGOMBEA KUPITIA CCJ,MKARIBISHE MUKAMA PIA.PEOPLE'S POWER FOREVER:israel:
 
naona aitishe mkutano wa waandishi wa habari atuambie ccm inkata rufaa ni kweli ccm kwishne rip ccm.
 
TUMKARIBISHE JANGWANI JUMAMOSI AONE NGUVU YA MUNGU,MWENYE WIVU AJINYONGE:A S-baby:
 
Sidhani kama katika hili analo la kusema maana anajua fika kuwa maji yalikuwa shingoni na hawakuweza kuyaogelea na sasa ndio yamezidi kina
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom