Turudi nyuma twende mbele | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Turudi nyuma twende mbele

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mageuzi1992, May 24, 2012.

 1. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Inawezekana ikawa swali hili lilishaulizwa ama halikupata jibu zuri. Ama halijauliza kabisa. Ni vizuri watu kuwa wadadisi ili kupata more information za kitu. Mathalani hebu tujiuliza

  hivi ccj ni ya nani? Na kama mwenyewe yupo mbona anajificha ficha? tujadili wajameni!!!
   
Loading...