Hongera GT, Ikulu yaja na website mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera GT, Ikulu yaja na website mpya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by J4MAYOKA, May 22, 2012.

 1. J

  J4MAYOKA Senior Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Baada ya takriban miaka 6 na matusi na kelele za kila namna za GAME THEORY na zingine akazihamishia kule twitter, Facebook, na kwa jamaa wa Open Government Partnership hatimaye SALVA RWEYEMAMU, PREMI KIBANGA na kurugenzi nzima ya mawasiliano ikulu wamegive in na wameleta website mpya ya ikulu

  tazameni website mpya ya ikulu yetu:

  ikulu.go.tz

  sasa kilichobaki ni kuichambua na kutazama kama kweli itakuwa updated na sasa pia ni nafasi nzuri kujua wanaomshauri rais ni akina nani na elimu zao

  Zaidi ya hayo pongezi sana kwa JAMIIFORUMS na zaidi kwa GT

  lakini mbona haina habari mpya au habari ya who is who mle kwenye kasri?

  halafu mbona bado wanatumia e-mail ya YAHOO?
   
 2. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Kuwa na website ni kitu kimoja na ku-maintain website ni swala jingine kabisa. Time will tell very very soon!
   
 3. J

  J4MAYOKA Senior Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa mbona hakuna habari za ziara ya rais USA?
   
 4. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Afadhali umeanza kujijibu, na huo ndio msingi wa post yangu ya hapo juu kama hukuelewa
   
 5. k

  kitenuly JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wamekosa cha kufanya, website yenyewe haina tija kwa watanzania, ni yaleyale maneno mengi mazuri toka kinywani, lakini vitendo hakuna. ikulu.go.tz
   
 6. J

  J4MAYOKA Senior Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  njoga niendelee kuperuzi kutafuta makosa
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nitambue jitihada za Ikulu kuweka hii website lakini nimeingalia, it is extremely amateurish. Sijui ni ushabiki wa vyama vya siasa lakini rangi ya kijani is too powering to the point of causing partial blindness. Kwa mtu mwenye matatizo ya bright colours basi nashauri asifungue hii website. Then kuna sehemu nyingine maandishi yako kwa rangi ya kijani, sasa ukichanga na background ya kijani hakuna kinachosomeka.

  Picha ya Statehouse building imefanyiwa maujanja ya computer, haiko natural na most shockingly, nembo ya taifa resolution yake ndogo sana, maneno kwenye nembo hayasomeki!

  Pamoja na nia yao ya kuweka website, Ikulu watafute mtu-professional anayeweza kuiweka hii website kwenye standards zinazokubalika. Kwa sasa imekaa kama imetengenezwa na mwanafunzi aliyenza training week iliyopita. Very tacky!
   
 8. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #8
  May 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Kosa kubwa ni Ikulu kutotengeneza CMS yake, fedha si zipo. Hili limewashinda nini? Basically kwa gharama za juu sana kutengeneza tovuti hii ni kati ya TZS 3,000,000 - 5,000,000 (gharama za kutengeneza tu) lakini si ajabu tukaambiwa zimetumiwa TZS 50mil au zaidi! Administration page basi iwe customized kidogo lol, - ikulu.go.tz - Administration

  Hii bg color ni ya nchi gani (GREEN), Tanzania? Au ndo wameamua kuchukua moja tu kwenye bendera ya Taifa?

  Angalia link hii - Blog manake nini?

  Homepage peke yake ina Total page size ya 1.18MB; ni kubwa sana hii na generally website haiko optimized.

  Ngoja nisiendelee :poa
   
 9. w

  warea JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2012
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi sisemi!
   
 10. H

  HAKUNA Senior Member

  #10
  May 22, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  NEGATIVE THINKERS wanatafuta makosa tu; kuna WEAKNESS na STRENGTH kwa kila kitu.
   
 11. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Tatizo la website ya IKULU ni kuwa update yake itachukuwa Miaka; Sasa hata ukiiangalia hii utaona habari yake na picha

  Zake ni za zamani sio Mpya na ndilo Tatizo la IKULU WEBSITES; na wakishituka imekaa muda mrefu bila update

  Wanaanzisha Mpya kama kawaida yao; kutumia pesa bila Maumivu. Poor Management Poor Administration...
   
 12. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  We vipi, we unafikiri kusifiwa strength zako ni kukujenga??. Waache wataalamu wadadavue, sisi tusiojua hayo mambo wnatufungua. Hebu check comment ya Invisible..constructive! Kazi kwao Ikulu.
   
 13. F

  FJM JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Invisible, hii website ina makosa mengi mno mno mno to the point of being un-ethical! Nimeacha kutaja mengine maana sitaki niwavunje moyo sana. Lakini kweli kama wanasoma hapa JF wamtafute mtu anayejua website ni nini. Imekaa kisanii na aibu ya nchi.
   
 14. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Jamii Forums ndiyo kiboko yao Tanzania nzima, na kila siku uongozi wa JF uko makini kuhakikisha unapeperusha bendera. Hakuna website yenye live news na kuwa na mada kila aina kama JF. CCM wameanza yao lakini hakuna mteja kwani uhuru wa kutoa maoni na kuweka mada zenye kuwavutia watu JF ndio kiongozi wa Ikulu yenyewe.
   
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  naona unajipigia chapuo, dah, wabongo bana.
   
 16. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Halafu inatumia Joomla. Not bad lakini Ikulu should have resources to customize it or pick something better.

  Sijui aliyetengeneza atakuwa amewacharge bei gani?
   
 17. J

  J4MAYOKA Senior Member

  #17
  May 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna pesa dola laki 6 zilitolewa na JK kutengeneza website lakini zikaliwa
  wakaja na free blogspot

  hilo uliloliona nimeliona

  sana
   
 18. J

  J4MAYOKA Senior Member

  #18
  May 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  swali la kizushi:

  JE Aliyedesign website ya Ikulu ndio huyo huyo aliyedesign website ya CCM?

  Je nape na mkono kwenye hili?
   
 19. J

  J4MAYOKA Senior Member

  #19
  May 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwenye uwezo wa kupiga screen shots afanye atuletee maana inabidi tuifanyie archiving...

  au kama zipo website zinazo archive upuuzi kama huu uletwe
   
 20. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #20
  May 24, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Possibly. Halafu CCM ina mitandao mitatu:


  1. Welcome to the Frontpage!
  2. Website Rasmi ya Chama Cha Mapinduzi - CCM
  3. CCM Blog

  Najaribu kujiuliza. Why all these websites?
  Yaani website moja haitoshi?
  Wanaweza kujustify gharama za kuwa na tovuti tatu?
   
Loading...