Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wadau, Nilikuwa napitapita huku wilaya ya Kilombero ghafla nikakutana na mkutano wa Chadema katika mji mdogo wa Ruaha Kilombero. Mkutano unahutubiwa na viongozi wa mkoa wakiongozwa na kamanda...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Jumuiya hii ni ya wanaharakati wa kueneza dini ya kiislamu au ni wanaharakati wa kisiasa?
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu, Kwanza naomba kudeclare kuwa mie si CHADEMA. Nimekuwa nikifuatilia majibishano ya John Shibuda na watu a chama chake. Fine. Nikajiuliza......... Kweli kwa sasa nchi yetu inahitaji raisi wa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Nilitarajia mapokezi makubwa kwa Kiongozi wetu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete alipotokea Marekani alikokuwa amehudhuria mkutano wa Nchi matajiri zaidi duniani G8 kama mualikwa. Mambo hayakuwa hivyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nIPO viwanja vya soko la mwanga makamanda wa CDM wananguruma hapa wakiongozwa na Godbless Lema Magamba yanauwawa hapa sina kamera hapa lakini hali ni tete kwa wamagamba ulinzi upo wa kiishkaji tu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kusema kweli mapambano ya ukombozi wa nchi yetu yametusomba sote kwa nyakati tofauti tofauti. Nikwakutumia ukiritimba huu CCM waliweza kututeka kifkra hasa kwa kutumia kauli za zidumu fikra za...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
ZITTO KABWE: Matumaini mapya yameanza kuchomoza Zitto Kabwe Toleo la 240 23 May 2012 JUMATATU hii ya Mei 21, nimeanza ziara yangu ya mafunzo hapa Uholanzi pamoja na wabunge...
5 Reactions
47 Replies
5K Views
Wanajamvi, Kwa wale wanaokumbuka vizuri miaka ya sabini na themanini kulikuwa na huu wimbo, Mabepari walia, mabepari walia wakatiwa mirija. Walipotangaziwa, walipotangaziwa azimio la Arusha. Wengi...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Napenda kuwajulisha kuwa kutakuwa na maandamano kutoka sehemu na vitongaji mbalimbali vya jiji la Dar es Salaam na kuishia katika viwanja vya JANGWANI, siku ya Jumamosi, Tarehe 26 Mei, 2012...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanamzumbe naomba niwasalimu kabla ya kuwahabarisheni yale msiyoyafahamu, kuna WIZI na UFISADI mkubwa umetokea katika pesa zetu tunazochanga kama ada ya association, Siwezi pita vumbi wakati lami...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Star Tv Habari Mkuu wa kaya katuchoka kweli kumbe mkuu wa Wilaya ya Ilamba Mh. Nawanda, Yahya kumbe ni denti wa Finland na anasoma Majuu Finland na anatarajia kumaliza shule yake mwaka 2014...
2 Reactions
46 Replies
10K Views
Kuna Waalimu wako Ofisi ya Ofisa Utumishi wanadai Mshahara.Mwenye data kamili aseme ni Mshahara wa mwezi gani wanaodai.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jinsi habari za Babu wa Loliondo na Muswada wa Marejeo ya Katiba zilivyoteka akili na ufuatiliaji wa Watanzania,kuna wasiwasi kuwa yale malipo tata ya Kampuni ya Dowans yameshafanywa kisiri na...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa wale waliokuwa wakimfuatilia marehemu Sheikh Yahaya Hussein basi wataelewa hesabu hii. CCM = 3+ 3 + 13 = 19 CDM = 3+ 4 + 13 = 20 Huu ni kwa mtitiriko wa herufi jinsi ulivyo ukilinganisha...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Naomba ufikirie kama elimu yako imekusaidia na zaidi elimu ya siasa kama imetoa tija/gawio kwa taifa. Elimu ya Mzungu kwa manufaa ya mzungu au na wadandiaji tumo? ninakufundisha kupikia gesi sio...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
- Heshima mbele JF, hivi karibuni nilikuwa Dodoma hili la Wabunge na posho limenishitua sana ukizingatia kwamba nilikuwa mmoja wa wananchi waliopinga sana Wabunge kuongezewa posho, there I was in...
4 Reactions
194 Replies
16K Views
Mkutano wa CDM Jangwani kurushwa Live ITV. Source Matangazo ya ITV
3 Reactions
81 Replies
8K Views
Tunahitaji viongozi wenye uchungu na nchi na siyo bora kiongozi,
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Napenda kuwajulisha kuwa kutakuwa na maandamano kutoka sehemu na vitongaji mbalimbali vya jiji la Dar es Salaam na kuishia katika viwanja vya JANGWANI, siku ya Jumamosi, Tarehe 26 Mei, 2012...
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Katika kampeni za uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka 2010, Dr. Chami aliwahamasisha wananchi wa Moshi Vijijini na kuwezesha kukusanya kiasi cha Sh. 50,000,000/= ili zisaidie kampeni za urais wa JK...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom