Mbowe katika Clouds FM, afafanua juu ya suala la Shibuda

Mbowe katika Clouds FM, afafanua juu ya suala la Shibuda

AMARIDONG

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2010
Posts
2,501
Reaction score
189
ANAONGEA KUHUSU KUMFUKUZIA MBALI SHIBUDA

hayawi hayawi sasa MNYANTUZU ANAPIGWA TEKE KULEEEEEEEEEEEEEEEEEEE ATAHAMIA CCM B AU ATARUDI KWA WAUME ZAKE CCM A???
 
ANAONGEA KUHUSU KUMFUKUZIA MBALI SHIBUDA

hayawi hayawi sasa MNYANTUZU ANAPIGWA TEKE KULEEEEEEEEEEEEEEEEEEE ATAHAMIA CCM B AU ATARUDI KWA WAUME ZAKE CCM A???
Acha ushabiki hebu tueleze anachosema mbowe
 
Duh! Jf ya sikuhizi!? Habari za jukwaa la siasa utadhani jukwaa la udaku!
 
vyama vya siasa ni jumuiya ya watu wengi.

Kutofautiana katika chama cha siasa cha kawaida katika kujenga democrasia= mbowe
 
  • Thanks
Reactions: FJM
shibuda atashugulikiwa na chama.
Asema kuwa wanauvumilivu,mvutano kati ya bavicha na shibuda ni inshu ndogo.
 
Sasa hivi anaongelea mchakato wa katiba na CDM inashirikije
 
Ishu ya shibuda ni ndogo na ni kawada kwenye vyama vya siasa,kwani chama kina watu wenye malengo/mtazamo mmoja ila nji tofauti ya kufikia malengo =kamanda MBOWE
 
Namsikia Mbowe anaongea Clouds, maneno mawili kingereza cha ujanja ujanja.
 
Mbowe hasemi ukweli anaposema kuwa CHADEMA ndio "custodians" na initiators wa hoja ya Katiba, amesahau CUF ndio waliobuni hoja hiyo na ndio walioandika mpaka rasimu ya katiba yao miaka mingi sana kabla ya chadema hata kufikiria.

Mambo mengine jamani mwambieni huyu Mwenyekiti wa magwanda awe anauliza kabla hajakurupuka.
 
Siku ya jumamosi tunaenda kuongelea katiba Jangwani - Mbowe
 
Anaongelea suala la kuhamasisha watu kujitokeza katika suala la katiba lakini pia anaelezea juu ya mkutano utakao fanyika Dar es Salaam siku ya Jumamosi ijayo ya tarehe 26. Amesema watazindua M4C kitaifa katika viwanja vya Jangwani.

Namsikiliza akimaliza nitaleta summary
 
Nimechelewa lakini nitaweka baadae mazungumzo yake.
 
Watu wanakosea wanapodhani tunapo address mabadiriko chanya tunataka kila mtu abelong to CHADEMA, lakini tunataka kila mtu awajibike pale alipo ili awajibike pale alipo.
 
Back
Top Bottom