Vijana CCM tuachane na shilingi tanotano...

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
NAPE akiwa misenyi amewataka vijana wa ccm kuachana na sh tanotano ili kukijenga chama.
tiliwaambia ccm ni chama cha kifisadi wakaja watu humu jf rejao,ribosine,malaria sugu,na wenzao kutetea lakini leo rubani wao NAPE amekiri hadharani kuwa hela chafu ndiyo imekuwa msingi wa viongozi wa ccm kwa sasa.
alichosahau kuwaambia ni kuwa hii kansa imeshakula mpaka koromeo la ccm na hakuna namna tena ya kupona.
 
Kweli koromeo la cc em limeoza hata ulichonge lote haiponi hii ndo byebye
 
Magamba wataumbuana wenyewe kwa wenyewe mpaka kufikia Mwaka 2012 chama cha magamba kitakuwa kimeisha.
 
jamani naona wamekuja na sera mpya ya kuumbuana. kweli vijana wengi wala ccm wana njaa nawaona hata huku kwenye chaguzi ndogo tuu utaona wanapeana rushwa
 
Huu ujumbe wa nape ni wa kinafiki mbona yeye bado anawalipa akina rejeo na kundi lake humu jf ili kutetea ccm mfu
 
Back
Top Bottom