Sumbawanga na siasa za udini-padri pambo wa kanisa katoliki ajipanga kugombea ubunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sumbawanga na siasa za udini-padri pambo wa kanisa katoliki ajipanga kugombea ubunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ayhan2000, May 27, 2012.

 1. a

  ayhan2000 Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mengi yalizungumzwa hasa katika uchaguzi wa mwaka 2010 kua jimbo la sumbawanga lilikumbwa na siasa za udini kwa baadhi ya viongozi wa dini kujihusisha na masuala ya kampeni.
  Mambo kama hayo yameendelea kudhihirika baada ya jana tarehe 26/7/2012 PADRI anaitawa PAMBO wa kanisa la parokia ya Kristu Mfalme kudai kuwa anataraji kugombea UBUNGE ktk jimbo hilo endapo Tume ya uchaguzi itatangaza uchaguzi ktk jimbno hilo je kwa hali hii na madai yliyokuwepo ktk uchaguzi mkuu uliopita ni ipi hali halisi ya siasa ktk jimbo hilo kwa taswira hii ya udini??
   
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Anagombea kupitia chama gani?
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Nakushauri shangaa kwanza kwanini mchungaji wa kanisa la Asemblies of God Mama Lwakatare ni mbunge wa viti maalum CCM.
   
 4. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Utakuwa wewe mtoto wa Sheikh Yahya mbona hiyo tarehe 26/7/2012 haijafika? Umejuaje tarahe hiyo ikifika huyo Padri atasema maneno hayo?

  Kajipange upya na umbea wako.
   
 5. M

  Molemo JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Nasikia kupitia CUF
   
 6. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hakuna haja ya kuuliza chama gani!!! Tunacho CHRISTIAN DEMOCRATIC MOVEMENT!
   
 7. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Point of correction, jana ilikua tarehe 26/05/2012, siasa za Bongo bwana kama sinema we mwache huyo padri agombee lkn ndo sijui kama wakati wa kampeni atajitoa kwenye upadri kwanza ili afanye kampeni au atafanya kampeni akiwa padri. Haya ndo mambo ambayo inatakiwa katiba mpya iyatolee ufafanuzi la sivo tutaumizana sana
   
 8. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Padre kugombea ubunge ni uduni? Mbona bungeni kuna wachungaji na mashehe wengi tu wa vyama mbali mbali na hatusemi ni udini? Au mtu akishakuwa padre anakuwa raia wa nchi gani?
   
 9. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Umeulizwa hivi Mchungaji Askofu Getrude Lwakatale alipogombea ubunge wa viti maalumu (CCM) alijivua uaskofu? Mbona bado anaendelea kusalisha katika kanisani lake?

  Nakumbuka hata Sheikh Mikidadi aliwahi kugombea u-Kadhi wakati akiwa mbunge bahati mbaya akashindwa na Kadhi wa sasa Simba bin Juma.
   
 10. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  So what?
   
 11. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Katiba inamruhusu sema tu labda kanisa lake limzuie
   
 12. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  et eeeeh...kwani katiba inamkataza?
   
 13. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  lazima itakuwa CDM ... wapi kwengine atakimbilia
   
 14. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Sheikh Alhaj Ally Hassan Mwinyi akiwa rais aliendelea kuwa sheikh na akiwa Dodoma kikazi siku za alikuwa akiongoza ibada msikitini.
   
 15. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Sheikh Alhaj Ally Hassan Mwinyi akiwa rais aliendelea kuwa sheikh na akiwa Dodoma kikazi siku za ijumaa alikuwa akiongoza ibada msikitini. Kwani ubaya ni nini hapo? Akiwa padri ni udini! Astakafir allah! Au tukubaline kwanza kuwa uislamu siyo dini!
   
 16. y

  yaya JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Mkuu, aidha hujui kiingereza, au ufahamu wako kuhusu siasa ni finyu. Hamnacho chama hicho hapo TZ.
   
 17. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hivi ujinga nao ni kitu cha kujivunia? Kwani Padre akigombea Ubunge ni udini? Tatizo la shule za kata hili. Wewe hasa ndio mdini, ina maana hata ukiona huyu padre anao uwezo wa kuleta maendeleo zaidi hutamchagua kwa kuwa ni padre.

  Juu ya yote hii mada umeileta ili kufurahisha wajinga wenzio. Na ndio maana umekurupuka hata ukatuletea tarehe za mbele. Tarehe 26/07/2012 kwa kalenda ya dini yako au hii Universal?

  Kwa akili na mawazo ya namna hii halafu linalaumiwa Baraza la Mitihani, excrement of the clan!
   
 18. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #18
  May 27, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  canon law nafikiri ipo strict kwa mapadre na maaaskofu kuhusu siasa kama atataka kugombea ubunge sawa katiba inamruhusu ila kanisani lazima aache upadre hawezi kuwa padre huku akiwa mbunge!!na wakati wa kampeni haruhusiwi kutumia jukwaa la kanisa kuomba kura atakuwa navunja katiba ya jamhuri!!
   
 19. theophilius

  theophilius Senior Member

  #19
  May 27, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kwako kutokuwepo udini kwenye siasa ni pale anapogombea mwarabu-koko? wewe ndiye mdini nambari wahed
   
 20. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Mlima wa moto dot com....
   
Loading...