Je, vipaombele vyetu kama taifa viko wapi? Kwa nchi kama Tanzania je, ni muhimu kuwa na vazi la Taifa leo?
1. Badala ya kuunda tume ya kusaidia wakulima wa Pamba ili pamba yao iwe katika kiwango...
Great thinkers heshima kwenu! Sikuhizi baadhi ya watu wamekua na kasumba ya kutuhumu wengine kwa lengo la kuwapaka matope mbele ya jamii huku wakujua dhahiri kwamba tuhuma hizo nizakuzusha tu...
Matembezi ya amani Zanzibar (habari yote)Written by abdi // 26/05/2012 // Habari // 7 Comments
Maelfu wa wazanzibari wakiongozwa na Taasisi za Kiislamu na Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya...
Maazimisho ya miaka hamsini ya uhuru wa Tanzania yametuacha na changamoto nyingi ambazo tusipokuwa makini inabidi Amiri jeshi mkuu wa Majeshi yetu ya ulinzi na usalama na mkuu wa nchi aitishe...
Wabunge machachari Zitto, Msigwa, L. Nyerere na wengine watakuwa maryland USA kesho kuzindua M4C kwa Watz waishio USA. watauza kazi za chama na kuzungumzia maswala ya katiba mpya, uchumi nk...
Zifuatazo ni juhudi zimezofanywa na serikali hii ya awamu ya nne chini ya Rais shupavu Mh.Jakaya Kikwete katika kuleta mapinduzi ya kilimo Tanzania.
Lengo la kwanza: Kuweka misingi ya...
Sisi sote ni mashuhuda wa historia ya nchi hii kwa kumbukumbu mbalimbali ambazo leo hii zimekuwa kama hekaya kwa vizazi vijavyo.Hali ya uchumi na mfumuko wa bei ukiendelea kushika kasi huku...
CCM wana siri nzito mabadiliko ya Katiba
Saturday, 26 May 2012 09:28
Fidelis Butahe
Mwananchi
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kina siri nzito kuhusu mapendekezo yake katika mchakato...
Matembezi ya amani Zanzibar
Written by abdi | 26/05/2012
Maelfu wa wazanzibari wakiongozwa na Taasisi za Kiislamu na Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) wakifanya...
Wanajamvi jana Mbatia alikuwa akihutubia maeneo ya Soko kubwa hapa Mtwara,kuna mwananchi akamuuli kama mpinzani kwa nini ameteuliwa na Rais Kikwete kuwa M bunge ,Je kweli yeye ni mpinzani au yuko...
Wapanda pikipiki wamekuwa wakituhumiwa kila wakati kwamba hawavai kofia (helmet) ili kuwakinga na ajali.
Kubwa zaidi ni kitendo cha kupakiwa watu zaidi ya mmoja kwenye pikipiki moja.
Tulitegemea...
Maelfu ya wazanzibari wakiongozwa na Taasisi za Kiislamu na Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) wakifanya matembezi ya amani katika barabara za Zanzibar na kupeleka...
Maandamano yaliyokuwa yameandaliwa kwa ajili ya kumpokea mbunge wa Tanga Mh Omari Nundu yamesitishwa kutokana na sababu za kiusalama.
Chanzo: Tanga television.
Mwenge wa uhuru ulipokuwa umekesha Mjini Mafinga Wilaya ya Mufindi mkoa wa Iringa siku ya Jumapili 20/05/2012 kuamkia jumatatu, siku ya jumatatu wanafunzi hawakwenda shule eti kwa sababu walimu...
nimekuwa nikifuatilia semina elekezi ya wakuu wa wakuu wa mikoa,makatibu tawala wa mikoa na wakuu wa wilaya nikabaini kuwa jk ni mtu wa strategy.nimemuuliza ofisa mmoja wa tamisemi aliyeko katika...
Jamani jitokezeni wanasingida kaskazini mgombee ubunge kwa tiketi ya CHADEMA. Nyalandu hatufai,ni mwizi, mwongo,mzinzi,anayependa kujisifu na kujigamba. Ametoa ahadi nyingi sana jimboni na sidhani...
Source Uhuru
Mkurugenzi wa Takukuru Dr. Hosea kamsafisha mbunge wa Bariadi mh. Chenge na kusema hausiki na ufisadi na dhuruma ya ununuzi wa rada ila kama labda ashitakiwe kwa fedha zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.