Wamehakikisha hatuangalii news leo... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamehakikisha hatuangalii news leo...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tanzania Mpya, May 26, 2012.

 1. Tanzania Mpya

  Tanzania Mpya JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Leo umeme umekatwa mapema jioni na wamerejesha saa hizi, saa 4 usiku. Sijui ni hila ili tusione hekaheka za CDM za leo huko Jangwani?

  Tanesco wametumiwa kisiasa?
   
 2. m

  matawi JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Umeongea kama wana jf tunaishi mtaa mmoja, mwenzetu uko mkoa gani?
   
 3. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mikoa mingi sana leo wamefanya hvyo,Mwanza,DSM,Mtwara etc,kweli tu watawala wenye akili nyepesi
   
 4. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  poleni sanaaa... jangwana kulikua na raha sanaaaaaa.
   
 5. M

  MASIKITIKO JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 842
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  angalia kesho taarifa ya habari asubuhi
   
 6. M

  MASIKITIKO JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 842
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  Kama mtu binafsi tu anashawishi tanesco wazime umeme ili wao(mafisadi) wauze wa kwao,kama mmoja wa wafanyakazi alivyomwambia waziri,sembuse chama!
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mimi nipo Dar na sijatumia backup yoyote ya umeme. Au upo madongo-kuporomoka unajihesabu upo Dar?
   
 8. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #8
  May 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona mimi nipo Dar umeme haujakatika. Usije ukasema naishi uzunguni, mimi naishi kwa wapiga kura AKA wananchi wa kawaida.
   
 9. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #9
  May 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu Ribosome hata huku madongoni ni dar usitunyanyapae!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Dar kuna umeme haujakatika. Huko hampo Dar mpo viunga vya Dar.
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,499
  Likes Received: 19,913
  Trophy Points: 280
  ccm na nape oyeeeee...maslahi matumbo yao hawa ccm wana roho mbaya sana wanaweza kunywa hata uji wa mtoto hawa
   
 12. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  ni bora wanywe uji harafu wamwache mtoto walivyo na roho mbaya wanaweza ua na mtoto mwenyewe ili wapate kura pirau ya msiba.
   
 13. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mbona ckuona umeme umekatika au ulikatika mtaani kwenu tu
   
 14. wizaga

  wizaga Member

  #14
  May 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkoa wa Tabora,maeneo ya Igunga walikata pia na kuurudisha baada ya mkutano kuisha
   
Loading...