Mpendazoe alikata rufaa??

OSOKONI

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,965
5,336
Wana JF! heshima kwenu naomba kujuzwa kama mheshimiwa Mpendazoe alikata rufaa kwenye kesi yake ya kupinga matokea ya ubunge segerea au amekubaliana na zile dhuluma za wazi wazi!!nawasilisha!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom