Serukamba na dili la dola milioni 350 za bandari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serukamba na dili la dola milioni 350 za bandari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wimbi la mbele, May 18, 2012.

 1. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mheshimiwa Rais alisema wazi wakati yuko Tanga kuwa wananchi wanapaswa kuzipata hizi taarifa za wakaguzi wa mashirika ya umma kama CAG na Kamati za Bunge.

  CAG kaweka baadhi kwenye mtandao lakini ugomvi umebaki kwa hizi kamati za bunge na hasa hii iliyopelekea kuibuka kwa skendo la utanuzi wa bandari

  Kazi ya bandari ilikuwa inahitaji dola milioni 250...

  Mkurugenzi wa Bandari bwana Mgawe, bodi ya bandari wakaona hii haitoshi bora waongeze dola milioni 350 on top

  Wakapeleka kwa waziri husika kipindi kile (Omari Nundu) akaipiga chini.

  Wakaipeleka kwa Mkulo ambae hakutaka kujua zaidi...akaipitisha na kutoa guarantee ya serikali

  Chini ya Mkulo, uongozi wa Bandari & co tukaomba mkopo kwa wachina dola milioni 600

  Sasa excess ya dola milioni 350 zimepelekwa wapi?

  Je zimerudishwa China au?


  Serikali yetu inajisifia kwenye mambo ya Open Government Partnership (OGP) sasa katika hali ya kawaida kwa nini hii ripoti ya kamati inayoongozwa na Peter Serukamba inafanywa siri?

  Pesa ni za walipa kodi na wataolipa hiyo riba ni wananchi kwa nini Serikamba na kamati yake hawataki kutuambia ukweli wa hii excess ya dola milioni 350?

  Media yetu nayo inaonekana imejaa sana rushwa kwani hajuna investigative journalism iliyofanyika zaidi ya wao kuja JF ku copy na kupaste kwenye magazeti yao

  Hivi kama 4th estate wamejikita kwenye dimbwi moja na watu ambao walitakiwa kuwamulika kweli tutafika?
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Gamba jizi
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  ni kama umechanganya madesa hapa!rejea bunge la april
   
 4. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kujisifia lazima uwe na evidence -ipo?- badala yake nafikiri ni Ópaque government partnership' hizi nafikir tuna evidence ya kutosha -sakata la rada na chenchi, kusafirisha wanyama pori nje, meremeta, mikataba ya madini ...name it
   
 5. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mimi nimefurahhi JK yuko DC na najua akirudi tutegemee maamuzi mazito zaidi

  lakini nadhani kuna umuhimu wa waandishi wetu wakauliza maswali ili wananchi wapate kujua.
   
 6. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  sitaki ripoti iliyosomwa BUngeni.

  Nataka ripoti kwenye website ya kamati ya bunge ili nipitie na footnotes zao.
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  HANS ROGER DIBAGULA funguka zaidi naona una kitu lakini hujakosema sawasawa. Ungeongeza pia kauli ya Mnyika wakati anachangia repoti ya Kamati hiyo. Kauli ya Mnyika naona kama ilitoa clue fulani.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nasikia jamaa ame "book" kupiga picha na Madonna. Akimaliza zoezi hilo ndo atatinga home! Tumsubiri kwanza amalize zoezi hilo muhimu.
   
 9. N

  NICE LAMECK JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona jambo hili limeshaongelewa sana na barua limeonyeshwa hapa JF?
   
 10. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,310
  Likes Received: 604
  Trophy Points: 280
  Nundu ni member humu. Asiihie kulialia tu, awambie wananchi machafu yote anayoyafahamu kwani tupo tunaoamini kuwa hakutendewa haki.
   
 11. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Serukamba njaa tu inamtesa...halafu kumbe wamemsahau uwaziri? Lazima aje na mahesabu kama haya ili na yeye aonekane yupo
   
 12. T

  Tafakuru Member

  #12
  May 18, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  I lack evidence lakini i have instincts, Mr Nundu has always been right possibly he got to the wrong guys pocket. Inaonekana wazi, the master mind behind this theft is powerful than Nundu so the decion was easy..take him out and shut his mouth.
  "This is a problem of people taking u to state house, they will rule u while you lead the country"
   
 13. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2012
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Nadhani unazungumzia jambo ulisilolijua, uliye karibu naye anayo ripoti na katuka website ya Bunge sehemu ya hansard ripoti yote ipo maana hakuna jambo la siri kwa jambo lolote linalosomwa ndani ya Bunge. Siri ilikuwapo (japo ilikuwa kwenye magazeti) wakati wa vikao vya kamati.

  Kuhusu wizi, naona huu ni wimbo wa viongozi walioondoka ambao naona bado wana maslahi na hili suala. Kwanza suala la bei Hoja ya Mnyika ambayo iliungwa mkono na Bunge zima na kuwa azimio ni kutokubali hiyo bei ya Biliono 600 hadi ufanyike uhakiki utakaofanywa na kampuni huru. Uamuzi huo ulishafanywa na Bodi ya Bandari ambayo iliiagiza menejimenti ya TPA kabla hata ya Bunge lakini walisitisha baada ya kuona Nundu ameshaingilia mradi na kuogopa kuingia hasara zaidi kwa kuwa na kampuni ambazo zitafanya kazi kwa mradi ulioelekea kufa. Kwa kifupi hizi ni porojo za Nundu ambazo ameanza kuzisambaza hata kwa sms na kwa watu ili kumtisha Dk Harisson Mwakyembe asifanye uchunguzi huru na badala yake atekeleze matakwa yake. Hii inaashiria kitu kibaya zaidi ambacho Takukuru wanapaswa sasa kukifuatilia nacho ni Nundu ana maslahi gani na huu mradi? Kama ana jambo yeye ni Mbunge asubiri achangie bungeni na kwa data na pia humu anaweza kumwaga mboga maana wenzake wamemwaga ugali ili tuendelee kuogelea kwa Maslahi ya Taifa na si yake na watu wake.
   
 14. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  JJ Mnyika alihoji hii kitu!

  Serukamba ali react so defensively nadhani kuna kitu hapa!
   
 15. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Pesa kitu kingine bana!
   
 16. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2012
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Serukamba ali-react kwa kutokuwa na information za kutosha na hilo ni tatizo la wabunge wengi. Angaia Zitto katika kamati yake, kila alichoongea alikua na taarifa za ziada zaidi ya zileza kamati. Na kwa taarifa, baada ya maamuzi ya Bunge Serukamba naye alilazimika kueleweshwa na kuona Mnyika was right na alikua na upeo wa juu sana kukaa katikati ya kutetea maslahi ya Taifa bila kujali upande.
   
 17. m

  matawi JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kuna mazishi ya Dona sama mwisho wa mwezi kwa hiyo atachelewa kidogo kuzika
   
 18. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Halisi:


  Naomba unionyeshe ilipo full report ya kamati ya Serukamba sitaki hotuba ya bunge nahitaji kuona hiyo report


  I hope I'm not asking too much
   
 19. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Bado nasubiri bwana Halisi
   
 20. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  halisi uko wapi?
   
Loading...