Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by lutayega, May 26, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,216
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Katiba ya CHADEMA inaruhusu kuanzisha tawi dogo la CHADEMA endapo wanachama wafikapo 30 watapatikana, katika JamiiForums naamini kuna wapenzi wa CHADEMA zaidi ya 30 hivyo tunaruhsiwa kuanzisha tawi letu.

  Hivyo basi kwa wale waliopo tayari naomba waweke majina yao kwenye huu uzi ili nifanye mawasiliano tuweze kuanzisha tawi letu. Pia naomba mpendekeze tawi letu liitwe jina gani

  ifuatayo ni orodha ya wanachama ambao wameshajitokeza mpaka muda huu. usajili bado unaendelea

  1.Lutayega
  2.Godwinnko
  3.Eliceco
  4.Hans79 ( ELIAS KOLIWAKA) email: j.hans79@yahoo.com
  5. Ukweli mtupu
  6.
  TUMBIRI,(ametangaza na nia ya kugombea uenyekiti)
  7.Kuku dume
  8.mungi
  9. Kalyovatipi
  10. only83(amependekeza jina la CHADEMA tawi la jamii forum)
  11. 1800
  12. Havizya
  13. Kabembe
  14. Bongolala-amependekeza jina la(J Bongolala-JF branch ) anagombea nafasi ya accountant
  15. STK ONE, (natangaza nia ya kugombea U - KATIBU MWENEZI)
  16. Salma2015
  17. Atabase Agaya.
  18. Tume ya katiba(anatangaza na nia ya kugombea nafasi ya mwenyekiti wa tawi
  19.ibange
  20.mahoza
  21.tume ya katiba(katangaza kugombea uenyekiti wa tawi)
  22.kajunju

  23. Sheshejr, (mjumbe wa mkutano mkuu wa tawi)
  24.Kingungwe
  25. Uncle Rukus
  26. 23.Sabung'ori Mang'ang'a(natangaza nia ya kugombea nafasi ya mtunza hazina wa tawi)
  27. maoniyangu
  28. Aaron 0768497592
  29. Han'some.(anapendekeza jina la hazina janani
  29. mrdash1
  30. palalisote
  31. maoniyangu
  32. Vaspanya
  33. Gitwa
  34. Kagame ( Jina la tawi napendekeza liitwe cdm great thinker branch)
  35.. Tangopori
  36.MBUMBUMBU intelligent(Mi ntagombea uratibu wa matukio kama kuna cheo hicho)Jina la tawi liwe CHADEMA MTANDAONI
  37.bibliography
  38.Gracious
  39.Libaba
  40.Nyengo--(Atagombea-Msemaji mkuu wa Tawi)
  41.Ishina
  42.MAMMAMIA (Napendekeza jina Tawi liwe CDM@JF.co.tz )
  43.mwana fandey
  44.saint ivuga(nitagombea uenyekiti)
  45. Frafajo
  46. mbundenali
  47. Dosama. (Naomba liitwe M4C Online)
  48. William bramwel
  49. Ritchie
  50. Mfereji maringo
  51. Welu (mwanachama)
  52. Eraldius. Mwanachama. mtemab6@yahoo.com
  53.njiwa(Mkuu tume ya katiba)
  54. micro E coli.nitagombea ujumbe wa tawi.
  55.ngoni85
  56.Mponjori(iitwe chadema tawi la jamiiforums!)
  57. Ziroseventytwo
  58.omusilanga
  59.mawaiba(Tawi: Chadema Jamvini.)
  60.nairobifly
  61.Rasib
  62.ntamaholo
  63.hoyce
  64.comi
  65. frema 120 najipendekeza kama mjumbe
  66.Apolonary(nitagombea nafasi ya kitibu wa propaganda.)
  67.shardcore
  68. Benaire(Jina.....JF M4C.)
  69. Dark City(CHADEMA ONLINE)
  70. Mpenda pombe
  71. mnyazo
  71. Mwenyenguvu
  72.chieth
  78. Mbilimbili.
  79. Mamndenyi. mjumbe kamati ya ufundi.
  80. Kambajeck. Natangaza kugombea UKATIBU
  81. Codon
  82. peoples power
  83. mareche natangaza kugombea nafasi ya mjumbe wa mkutano mkuu wa tawi
  84.andrewk
  85.mareche natangaza kugombea nafasi ya mjumbe wa mkutano mkuu wa tawi
  87.Swagatwende
  88.Prisoner 46664 hapo (nahitaji nafasi ya ukaguzi mkuu wa mahesabu ya tawi)....
  89.Kirode, mwanachama wa kawaida
  90.mpangamji(membership jina laTawi liwe Chadema Online
  91.dingswayo
  92. Alfred Daud Pigangoma
  93.Navy SEAL
  94. Gagurito-Mkurugenzi wa Mambo ya Ndani na Propaganda wa Tawi.
  95.mkono lubaza
  96.dingswayo
  97.chante nitagombea katibu wa itikadi na uenezi wa tawi...
  98.Bobuk(mjumbe mkutano mkuu)
  99.kodem(natangaza nia kugombea mwenyekiti msaidiz)
  100.mamadou
  101. Ciril Kimat
  102. Ndakilawe... Mnisajili kwa jina la EMMANUEL WILLBARD
  103. Mercyless: ephraimdaudi@yahoo.com(Jina la tawi: CDM JF BRANCH)
  104.pstar01884
  105.Jackson kanene(nitagombea kuwa katibu mwenezi wa tawi'
  106. BITENDE.nipeni cheo kama cha Rwakatare but mimi ntakuwa wa tawi

  UPDATES
  Mpaka muda huu kama mnavyoona hapo juu orodha inaruhu kuanzisha tawi ila tawi haliwezianzishwa bila uongozi, kwa kuzingatia demokrasia na kutokana na ushauri wa baadhi ya wanachama mi nitakuwa mwenyekiti wa muda, na wanachama wote waliokwishajisajili na wale wanaoendelea kujisajiri munaombwa kupendekeza majina ya watu watakao ingia kwenye kamati ya uchaguzi mwisho wa kupendekeza majina utatangazwa baadae, zoezi litakalofuata baada ya kupata majina nikuwapigia kura ili kupata tume huru ambayo itaendesha uchaguzi.
  Fomu za nafasi mbalimbali za uongozi wa tawi zitaanza kutolewa baada ya tume ya uchaguzi kupatikana, pia ratiba ya kampeni itatangazwa hapo baadae, ila kwa wenye nia ya kugombea mnaruhusiwa kuweka CV zenu. asanteni
   
 2. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  2.Godwinnko
   
 3. e

  eliceco Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  3.Eliceco
   
 4. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,216
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Godwinnko pendekeza jina la tawi
   
 5. h

  hans79 JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  4.Hans79 ( ELIAS KOLIWAKA) email: j.hans79@yahoo.com.
   
 6. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Ukweli mtupu
   
 7. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Natangaza nia ya kugombea Uenyekiti wa Tawi hili.

  CV yangu hii hapa:

  PERSONAL PARTICULARS
  [TABLE="width: 222"]
  [TR]
  [TD="class: xl64, width: 121, bgcolor: transparent"]SURNAME[/TD]
  [TD="class: xl64, width: 174, bgcolor: transparent"]TUMBIRI (As per JF)[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: xl64, bgcolor: transparent"]FIRST NAME[/TD]
  [TD="class: xl64, bgcolor: transparent"] Ntawatajia kwenye kampeni[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: xl64, bgcolor: transparent"]DATE OF BIRTH[/TD]
  [TD="class: xl64, bgcolor: transparent"]01.02.1985[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: xl64, bgcolor: transparent"]EMAIL[/TD]
  [TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]tumbiri@jamiiforums.com[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  ACADEMIC QUALIFICATION
  [TABLE="width: 383"]
  [TR]
  [TD="class: xl67, width: 210, bgcolor: transparent"] [/TD]
  [TD="class: xl68, width: 172, bgcolor: transparent"] INSTITUITION[/TD]
  [TD="class: xl68, width: 64, bgcolor: transparent"]FROM[/TD]
  [TD="class: xl68, width: 64, bgcolor: transparent"]TO[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: xl67, width: 210, bgcolor: transparent"]Masters in Political Science and Public Administration (Msc in PSPA)[/TD]
  [TD="class: xl68, bgcolor: transparent"]Hull University (UK)[/TD]
  [TD="class: xl68, bgcolor: transparent, align: right"]2009[/TD]
  [TD="class: xl68, bgcolor: transparent, align: right"]2011[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: xl67, width: 210, bgcolor: transparent"]Bachelor degree in Publlic Administration (BA in PA - Hons), First Class[/TD]
  [TD="class: xl68, bgcolor: transparent"]Univesity of Dar es Salaam[/TD]
  [TD="class: xl68, bgcolor: transparent, align: right"]2005[/TD]
  [TD="class: xl68, bgcolor: transparent, align: right"]2008[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: xl67, width: 210, bgcolor: transparent"]Certificate in Advanced Secondary School education (CASSE) 4 Points, Division I[/TD]
  [TD="class: xl68, bgcolor: transparent"]Mzumbe High School[/TD]
  [TD="class: xl68, bgcolor: transparent, align: right"]2003[/TD]
  [TD="class: xl68, bgcolor: transparent, align: right"]2005[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: xl67, width: 210, bgcolor: transparent"]Certificate in Secondary School education (CSSE), 9 Points Division I[/TD]
  [TD="class: xl68, bgcolor: transparent"]Ilboru High School[/TD]
  [TD="class: xl68, bgcolor: transparent, align: right"]1999[/TD]
  [TD="class: xl68, bgcolor: transparent, align: right"]2002[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: xl67, width: 210, bgcolor: transparent"]Certificate in Primary School Education [/TD]
  [TD="class: xl68, bgcolor: transparent"]Mugabe Primary School[/TD]
  [TD="class: xl68, bgcolor: transparent, align: right"]1992[/TD]
  [TD="class: xl68, bgcolor: transparent, align: right"]1998[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]  LEADERSHIP EXPERIENCE
  [TABLE="width: 323"]
  [TR]
  [TD="class: xl65, width: 303, bgcolor: transparent"]TITLE[/TD]
  [TD="class: xl65, width: 64, bgcolor: transparent"]FROM[/TD]
  [TD="class: xl65, width: 64, bgcolor: transparent"]TO[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]Afisa wa CHADEMA Makao Makuu[/TD]
  [TD="class: xl65, bgcolor: transparent, align: right"]2007[/TD]
  [TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]To date[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]Waziri wa elimu wa Serikali ya Wanafunzi UDSM[/TD]
  [TD="class: xl65, bgcolor: transparent, align: right"]2007[/TD]
  [TD="class: xl65, bgcolor: transparent, align: right"]2008[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]Mbunge wa Bunge la wanafunzi UDSM[/TD]
  [TD="class: xl65, bgcolor: transparent, align: right"]2007[/TD]
  [TD="class: xl65, bgcolor: transparent, align: right"]2008[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]Head Prefect - Mzumbe High School[/TD]
  [TD="class: xl65, bgcolor: transparent, align: right"]2004[/TD]
  [TD="class: xl65, bgcolor: transparent, align: right"]2005[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]Normal Prefect - Ilboru High School[/TD]
  [TD="class: xl65, bgcolor: transparent, align: right"]2001[/TD]
  [TD="class: xl65, bgcolor: transparent, align: right"]2002[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]Head Prefect - Mugabe Primary School[/TD]
  [TD="class: xl65, bgcolor: transparent, align: right"]1998[/TD]
  [TD="class: xl65, bgcolor: transparent, align: right"]1998[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]  Katika siasa za kitaifa nina uzoefu wa kutosha katika harakati mbalimbali. Nimeshiriki uchaguzi mdogo wa Kiteto ambapo nilikuwa msaidizi wa Kamanda wa Operesheni. Nimeshiriki kampeni za uchaguzi mdogo Tunduru, nikiwa kamanda wa Ulinzi na usalama. Nimeshiriki uchaguzi mdogo wa Jimbo la Tarime na Biharamulo nikiwa kama msaidizi wa Kampeni meneja. Katika Uchaguzi mdogo wa Arumeru uliomalika mwezi uliopita, nilikuwa kamanda wa Ulinzi na Usalama Kata za Kikatiti na King'ori. Kutokana na elimu yangu na uzoefu wa kisasa kuanzia shuleni hadi ngazi ya taifa naamini nina uwezo wa kuongoza Tawi letu.

  Ajenda zangu:
  - Kuwa na tawi linaloongozwa kisayansi ili liwe mfano kwa matawi mengine
  - Kueneza itikadi na falsafa ya chama through e Politics.
  - Ajenda zingine mtaziona kwenye manifesto yangu.

  TUMBIRI FOR CHAIRMANSHIP TAWI JIPYA LA CHADEMA ONLINE


  TUMBIRI,

  tumbiri@jamiiforums.com
   
 8. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuku dume
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Mkuu umeniwahi aisee!
   
 10. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  5. Kalyovatipi
   
 11. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  vigezo vya kumpata mwenyekiti?
   
 12. only83

  only83 JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kamanda only83

  Tawi liitwe : CHADEMA tawi la JAMII FORUM
   
 13. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wazo zuri mkuu add 1800
   
 14. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Havizya
   
 15. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Kabembe
   
 16. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  Bongolala-JF branch cdm- accountant
   
 17. only83

  only83 JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Jamani katiba ya chama ipo tukasome, ila pia haraka ya nini? Tawi bado halijapata baraka ya chama tumeanza kutaka uenyekiti.
   
 18. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Very good idea, add STK ONE, natangaza nia ya kugombea U - KATIBU MWENEZI....!!!!!
   
 19. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #19
  May 26, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  wangapi Sijui :- Salma2015 .. Kura tunapiga huku huku Saafi sana
   
 20. Atabase Agaya

  Atabase Agaya Senior Member

  #20
  May 26, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wazo zuri mkuu.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...