Heche yuko sahihi kuhusu tamko lake dhidi ya Shibuda-Tundu Lissu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Heche yuko sahihi kuhusu tamko lake dhidi ya Shibuda-Tundu Lissu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, May 27, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkurugenzi wa Sheria CDM ambaye pia ni mnadhimu mkuu wa Upinzani bungeni Tundu Lissu amempongeza Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Heche na kuunga mkono kauli yake thabiti kuhusu mbunge wa Maswa Mashariki John Shibuda.
  Lissu alidai kushtushwa na tamko la Makamu Mwenyekiti BAVICHA Juliana Shonza kumpinga Mwenyekiti wake hadharani.Lissu alidai kilichofanywa na Shonza ni kichekesho na utovu mkubwa wa nidhamu ambao hauwezi kuvumiliwa.
  Lissu alienda mbali zaidi na kusema kikatiba Heche ni msemaji mkuu wa Vijana na si lazima kila kitu kipitie kwenye kikao bali ana mamlaka ya kutolea tamko jambo lolote analoona linaathiri harakati za chama.Amesema wanaosema Heche aliongea kama Heche hawajui wanachokisema bali aliongea kama Mwenyekiti na analindwa na Katiba ya BAVICHA.

  SOURCE:MWANANCHI UK 7
   
 2. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Baadi ya wanawake si watu wa kuaminika sana hasa katika harakati ngumu kama hizi!
   
 3. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,188
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Wanawake hawaaminiki kabisa kwenye mapambano.. Heche tupo nyuma yako..
   
 4. s

  slufay JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wanasema yuko timu moja na shibuda je ni kweli????????..... huenda kaahidiwa ukuu wa wilaya,,,, ...... Tatizo njaaa na uzalendo unafiki wa watz tulio wengi,,,, tutaishia kulalamika mpaka mwisho wa dunia
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  May 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Ni wanawake wachache sana wenye Misimamo katika jamii za kiafrika. Wengi wao wananunulika kwa bublish!
   
 6. M

  Mnyonge Namba1 JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Namchukia sana huyu kibaraka Shonza
   
 7. M

  Mnyonge Namba1 JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Namchukia sana huyu kibaraka Shonza.
   
 8. b

  blue arrow JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama nchi i gekuwa inaendshwa na mwanamke ingegeuzwa kichwa chini miguu juu
   
 9. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 884
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Wanawake sio wa kutegemewa katika mambo magumu. Hawana msimamo.
   
 10. theophilius

  theophilius Senior Member

  #10
  May 27, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  tatizo si 'wananwake' bali Juliana, be careful!
   
 11. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,015
  Likes Received: 2,663
  Trophy Points: 280
  Shoza na Shibuda ni mamluki,lakini hawatafika mbali.
   
 12. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Short and Clear!
  Wako wapi wale wote waliokuwa wanajificha na utetezi wao kwa Shibuda? watu wengine naona bado wana roho za kwanini? ndiyo maana wamemdanganya binti wa watu kwamba na yeye akatoe tamko baada ya wao kumwandalia tamko. Najua sasa hivi dada wa watu anajilaumu ni kwanini alidanganywa na wachache wenye roho za kwanini na sasa hana tena mvuto mbele ya vijana. Pole sana mdogo wangu Juliana, kwani itakuchukua muda sana tena kuaminika mbele ya jamii ya Watanzania hasa wanaopenda mabadiliko.
   
 13. Higash

  Higash JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  ni baadhi kama hawa kina juliana mkuu, mimi nilimfuata kule facebook nikampa ukweli kwenye wall yake, ni pandikz lile.
   
 14. M

  Malolella JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huyu dada ni debe2pu. Namfahamu vizuri tangu 2kiwa wote pale Udsm. Anakawaida ya kukurupuka, alivoona tamko la Heche limepingwa na shibuda na viongozi wa Cdm wamekaa kimya akafkr hawamuungi mkono Heche akajua namna ya kuwafurahisha ni kupingana nae tena hadharani. Nakumbuka wakati Mbowe kawekwa ndani wakati ule alienda kichwakichwa akawekwa nae ndani akijua atapata umaarufu. Wakati 2nafungua tawi la cdm mabibo hostel pale Makuburi alionesha dhahiri ukurupukaji wake hasa kwa kuropoka mambo yacyomhusu tena mbele ya viongozi wakuu wa Cdm. Juliana ni debe tupu.
   
 15. M

  MASIKITIKO JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 842
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  Fukuza Julian SHONZA
   
 16. N

  Nabwada Senior Member

  #16
  May 27, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kesho watasema CHADEMA inawanyanyapaa wanawake,we ngoja tu.
   
 17. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hongera heche ila nategemea shibuda atafanya U-turn
   
 18. N

  Njaare JF-Expert Member

  #18
  May 27, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ni hatari sana kumweka mtu kushika cheo ati kwa sababu ya jinsia ati kutoa fursa sawa kwa wote. Tufike mahali tuwape vyeo kwa sababu ya uwezo wao. Haya mambo ya usawa yatakuja tukishajitosheleza kiuchumi maana sasa tuko katika mapambano na makamanda wanatakiwa wawe na nguvu na kuweza kuruka vihunzi. Kama tunaongozwa na kamanda asieweza hata kuruka mfereji wa maji machafu, tukifika mtoni si atatutumbukiza? Wakati tunapopambana kuikomboa nchi yetu toka kwa mafisadi, twahitaji kuwa na makamanda wanaoweza kuona tatizo na kulishughulikia na sii walalamishi. Huyu juliana ni mlalamishi na hatufai. Tukimpa cheo atakuja kutafanya kama mama wa Malawi alivyoona kuwa suluhisho la matatizo ya malawi ni kuruhusu ushoga.
   
 19. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 180
  Pole sana Juliana... Siku nyingine usikubali kutumika. Naamini ulikuwepo pale Jangwani jana na kuangalia mood ya watu kuhusu Shibuda na kauli aliyootoa Mwenyekiti wako. Kueteleza sio kuanguka jirekebishe na usonge mbele
   
 20. M

  Molemo JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Much Respect kamanda Lissu.Huyu Juliana ameonekana mtu wa hovyo ambaye kila mtu anaona ana agenda ya siri dhidi ya CDM.Ninachompenda Lissu ni mtu ambaye ni muwazi sana.
   
Loading...