Hatimaye nimevua gamba na kuvaa gwanda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye nimevua gamba na kuvaa gwanda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwinukai, May 28, 2012.

 1. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hatimaye tar 26/05/2012 pale Jangwani nilivua gamba na kuvaa gwanda, licha ya kuwa niliichukia ccm toka utotoni lakini najihesabu kuwa nimevua gamba kwa sababu sifuatazo.

  1) kwamba niliayependa mabadiliko lakini sikuwa sehemu au mwanachama wa mabadiliko, na badala yake nilikuwa shabiki tuu, hivyo nimevua gamba la ushabiki na kuvaa gwanda la UANACHAMA.

  2)Nimechelewa kuwa MWANACHAMA, hivyo kuchelewa kwangu na kwa wengine kumechelewesha mabadiliko. hivyo nimevua gamba la kuchelewesha mabadiliko na kuvaa gwanda la kuharakisha mabadiliko.

  MAONI. Ni vyema wanaopenda mabadiliko ya kweli ya Nchi hii wakawa sehemu ya mabadiliko kuliko kuwa mashabiki kama hawana vizuizi vyovyote vya msingi vya kuwazuia.

  FREEDOM IS COMING TOMORROW.
   
 2. h

  hans79 JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Pole sana lakini hata hivyo hujachelewa sana,lengo liwe 1 tu ni mwondoa mkoloni mweusi tii kwenye taifa letu.
   
Loading...