Huyu aweza kuwa mrithi wa Yoweri Museveni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu aweza kuwa mrithi wa Yoweri Museveni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpayukaji, May 27, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Habari zilizotufikia ni kwamba rais Yoweri Museveni anaweza kung'atuka atakapofikisha miaka 75. Hii ni kwa mujibu wa
  maelezo yaliyotolewa na Museveni mwenyewe alipohojiwa na shirika la habari la Nation kupitia NTV Uganda. Alisema hana pingamizi kwa mke wake kugombea urais baada yake. Na kuna tetesi kuwa chama cha Museveni NRM kingependa Janet Museveni amrithi mumewe. Je hii ni janja ya Museveni kuendelea kutawala nyuma ya pazia? Je mwanae aliyemuandaa muda mrefu atakubaliana na hili au ameonyesha kutofaa? Je waganda watakubali kuendelea kuwekwa kinyumba na Museveni ambaye amewatawala kwa mabavu kwa miongo mingi. Kwa habari zaidi Bonyeza hapa.
   
 2. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  SHETANI azidi kukubariki ili hatimaye mwanao MUHOOZI awe makamu wa raisi wakati mama yake JANET ni Rais wa Uganda
   
Loading...