Mtazamo Wangu: Sugu Kasaidia sana kuinua chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtazamo Wangu: Sugu Kasaidia sana kuinua chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KML, May 28, 2012.

 1. KML

  KML JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jamaa amesaidia kwa kias kikubwa sana kuinua chadema kwa mtazamo wangu, kila mikutano anayoenda kitendo cha kuonekana around lazma watu watake kumuona jukwaani angalau atoe ata neno kama sio mistari..

  Jamaa katuhamasisha sana baadhi ya vijana naamini wengi wamehamia pia kwasababu yake

  BIG UP SUGU​
   
 2. KML

  KML JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jamaa amesaidia kwa kias kikubwa sana kuinua chadema kwa mtazamo wangu, kila mikutano anayoenda kitendo cha kuonekana around lazma watu watake kumuona jukwaani angalau atoe ata neno kama sio mistari..jamaa katuhamasisha sana baadhi ya vijana naamini wengi wamehamia pia kwasababu yake
  BIG UP SUGU
   
 3. K

  Kimbito nyama Senior Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata CCM tunaye Mzee Komba anatusaidia sana kuhamasisha makundi yote pale anapopanda jukwaani na kuimba.. nambari waniee...nambari wani ni..... au Mgeni.........
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,903
  Trophy Points: 280
  komba yuko bussy kumtoa lulu mahakamani
   
 5. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,649
  Likes Received: 4,751
  Trophy Points: 280
  Nasikia kile kitu alichompandikizia kimechurupuka.
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,049
  Likes Received: 24,051
  Trophy Points: 280
  Mtakatifu Saint Ivuga jana uliutwika wa kutosha au? Kwani Lulu yuko mahakamani au sero?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Una haki ya kuwa na Mtazamo ilimradi usitukane.
   
 8. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hee lini tena? duh kale katoto kajasiri eeh! dude lote lile?
   
 9. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mning'inio wa juu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. h

  hans79 JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Ubinafsi hauna nguvu ktk chama, ye yote yule lengo lake ni ukombozi wa taifa letu. Au juzi hukumwona kamanda mpya Bananga.Tuache sifa zisizo na msingi, chama kwanza ubinafsi baadae.
   
 11. S

  Senator p JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unalitetea gamba,halwez kuchana kwa vina wala mizani,mfano pale liliposema kakuku kanatetea dodoma,(jk) kaiada (Nyinyi M)
   
 12. Ishina

  Ishina Senior Member

  #12
  May 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sugu ni mmojawapo wa makamanda wa ukweli ndani ya CDM, kwa hiyo lazima apigane kufa na kupona kuhakiisha kuwa CDM inachukua dola. Ikumbukwe kuwa CDM tunayoiona sasa, mizizi yake imeanza kujengwa kwa takribani miaka 20 iliyopita, mpaka ilipofikia hapa credit ziwaendee makamanda wote waliokifikisha Chama hapa kilipo. Ni vizuri sifa hizo zikawafikia pia makamanda wote kuanzia kwa waasisi (Mzee Bob Nyanga Makani, Mzee Edwini Mtei etc) kwa misingi mizuri waliyotuwekea, na pia kwa Makamanda wote walipo sasa kama Mbowe, Dr. Slaa, Zitto, Mnyika, Tundu Lissu, Mdee, Heche, Prof. Safari, just to mention a few)
   
 13. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,295
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Sugu oyeee....!!!
   
 14. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  Ofcoz yes sugu ameinua sana ari ya vijanan wengi wa mtaani waliodhaniwa kuwa wahuni mkushuriki katika masuala ya kisiasa.he is a good boy
   
 15. s

  swaswa JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 203
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Sugu ni Jembe na harakati za kimuziki pia imekua chachu kwa vijana kushiriki kwenye siasa binafs Nampongeza sana Mr2 Big up kamanda wa kweli
   
 16. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kwani magamba hawana vijana kama Sugu!?
  vp na nakaaya angekuwepo chadema alitukimbia huyu,
  mbona kule kuna waimba taarabu, mmemsahau mzee yusufu!
   
 17. KML

  KML JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mkuu ni kweli wapo wengi waliosaidia chama kusimama ila mi nimetoa kama mfano tu sina maana ni yeye peke yake, ata wewe una haki ya kumsifia yeyote hamna ubinafsi hapo kaka
  Big Up SUGU
   
 18. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #18
  May 28, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni vigumu sana kusema mtu fulani kasaidia CHADEMA. Wengi ndani ya CDM ni vichwa na kila mmoja ana mchango wake na tukianza kuwataja hapa hatutawamaliza, Sugu, Zitto, Mnyika, Mbowe, Msigwa, Slaa, Lema, etc..............its a long list.

  Tuongelee nguvu ya chama kama chama na sio mtu mmoja mmoja. Mawazo na michango anayotoa mtu mmoja wakati mwingine ni after consultation with a lot of people ndani ya CDM.
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  May 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,903
  Trophy Points: 280
  huko huko mkuu....selo na mahakama ni mhimili mmoja
   
 20. mkush

  mkush JF-Expert Member

  #20
  May 28, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 210
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kwa nafasi yake,ni kweli kashiriki kukiongezea nguvu chama,amekuwa mhamasishaji sana hasa kwa vijana.wengi wao wamefunguliwa macho kupitia huyu jamaa(kwa nafasi yake).ingawa majembe ndani ya chama ni mengi ila lile jipya lajuzi lilivuliwa gamba(ali bananga) nalitabiria makuu katika maisha ya kisiasa.peoooooooooooooooooople.............................poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!!!!!!!!!!!!
   
Loading...