Ukerewe ya chadema yasifiwa kwa maendeleo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukerewe ya chadema yasifiwa kwa maendeleo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwinukai, May 28, 2012.

 1. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Ni kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa na TBC1 kimetoa makala inayosifia halmashauri ya wilaya ya Ukerewe inayoongozwa na CHADEMA kwa maendelea katika nyanja zote na usimamizi mzuri wa raslimali. HONGERA WANACHI WA UKEREWE.
   
 2. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,877
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Hongera Mh. Mbunge Salvatory Machemli (CDM)
   
 3. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huo ni mwanzo tu, mazuri zaidi watayapata toka CHADEMA.
   
 4. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,615
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Keep it up UK
   
 5. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,011
  Likes Received: 1,891
  Trophy Points: 280
  Ndivyo tunavyotaka Tanzania nzima.
   
 6. h

  hans79 JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  CHADEMA ndo tegemeo letu la ukombozi wa taifa hili.
   
 7. B

  Benaire JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,941
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Na mwanza jiji waache malumbano.....wapige kazi kama ukerewe na musoma....hapo CCM watalilia chooni 2015 na watakosa cha kusema majukwaani...watabaki kurusha u-lusinde.
   
 8. M

  MTK JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,800
  Likes Received: 2,708
  Trophy Points: 280
  Kudos kamanda Machemli, VIVA M4C
   
Loading...