Niandike maneno gani kwenye bango langu kuelekea Jangwani kesho? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Niandike maneno gani kwenye bango langu kuelekea Jangwani kesho?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwenyenguvu, May 25, 2012.

 1. mwenyenguvu

  mwenyenguvu Senior Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tafadhali wajf nisaidieni,nimeshanunua tambara kubwa tayari kwa kuandika ujumbe na kuanza safari kwa mguu toka tabata kimanga kuelekea jangwani for m4c hapo kesho,sasa naomba unisaijie ujumbe gani nitupie hapo bangoni?,nawasilisha
   
 2. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Andika 'JK KUTEUWA WAKUU WA WILAYA KWA MATAKWA YA RIZ 1 NI SAWA NA KUCHEZA WIMBO WA TAIFA DISCO.
   
 3. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Andika "CCM:SIDANGANYIKI TENA NAWAAMBIA"...
   
 4. F

  Froida JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Andika KIKWETE RUDISHA FEDHA ULIZOCHOTA HAZINA KWA SAFARI ZA KWENDA KUBEMBEA: NCHI IMEFIRISIKA KWA AJILI YAKO
   
 5. h

  hans79 JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Andika: WAPI KASI ZAIDI,ALI ZAIDI NA NGUVU ZAIDI KWA TAIFA LETU?
   
 6. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tanzania yangu!
  ccm yangu!
  kitanzi changu!
  kaburi langu!
   
 7. z

  zamlock JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  andika WATANZANIA TUSISUBIRI 2015 MUDA NDIO HUU.
   
 8. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Andika , NAIPENDA CCM, NITASEMA UKWELI DAIMA UONGO KWANGU MWIKO ! CCM NAMBARI WANI ! JK NDIO RAIS BORA KABISA TANZANIA, ZIDISHA MAPINDUZI YA KILIMO NASISI TUPO NYUMA YAKO !
   
 9. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  Dr.SLAA ni RAISI WETU AKILINI MWETU
   
 10. J

  JAY2da4 JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2012
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  weka hii;


  [​IMG]
   
 11. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  andika. NIHERI KUISHI NA MAAMBUKIZO YA VVU/UKIMWI KULIKO CCM.
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Majibu ya matatizo yetu yako hapa hapa Tanzania, sio Marekani.

  AU

  Kikwete billioni moja kwa mwezi zinapatikana hapa hapa Tanzania, zuia rushwa.
   
 13. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2012
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Kikwete billioni moja kwa mwezi zinapatikana hapa hapa Tanzania, ACHA KULA rushwa, CCM tokeni madarakani mhamie mahakamani
   
 14. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Andika hivi KUIPENDA CCM NI SAWA NA KUWA NA AKILI ZA MAITI
   
 15. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #15
  May 25, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  "lazima wachaga tuchukue nji 2015"
   
 16. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Andika
  HERI KIJANA MASKINI MWENYE HEKIMA, KULIKO RAIS MPUMBAVU ASIYEJUA KUONGOZA
   
 17. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #17
  May 25, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Downlod lile sanamu la zuma linalomwonyesha akiwa MSHEDEDE uliosima nje ukate kichwa print kwenye A3,then andika mandishi makubwa:KWA HILI JK UNAWEZA
   
 18. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #18
  May 25, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  andika "mkapa ulimuua nyerere"
   
 19. S

  Starn JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ni heli kuwa kuvaa gamba MILELE, kuliko Raisi wa injii kuwa slaa
   
 20. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #20
  May 25, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Heri vvu,tb,kisonono au vyote kwa pamoja kuliko ccm.
   
Loading...